MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
mkuu huo ni ukweli. Kwenye show za taarabu huwa kuna matotoz ya ukweli. Yaani we acha tu, Hukosi wa kuopoa. Ila wapo wanaoenda kuopoa matotoz, na kuna wanaume wengine wanaenda eti kisa wanapenda miziki akina mama wa mipasho, aisee hao wanaume wanamapungufu.mkuu hapa unakosea sana,mimi ni mwanaume sipendi taarabu lakini hapo zamani nilikuwa naenda kwenye kumbi za taarabu kufata totoz,huwa wanakuja totoz za ukweli wazazi wakijuwa eti kwenye taarabu ni 'safe'.<br />
Hamna kuhalalisha ushoga/usagaji waendelee hivyo hivyo kimyakimya kwa kujificha,tukianza kuwatambua itafuata ndoa za jinsia moja, kuasili watoto kwenye ndoa hizo za jinsia moja na hata kurithiana mali na vikorombwezo kibao,hamna kufungua mlango nusu.
Bado nasisitiza huna uhakika! Usilinganishe boga na jiwe.Huo mfano wako una walakini nahauwezi kuitegemeza hoja yako ya awali.UnajuaUna hakika na ukisemacho ndugu? Fanya utafiti kwa kusoma an kudadisi.Kwa tarifa yako hizi tabia ziko na zimekuwepo toka enzi na enzi ila zilikuwa siri na jamii ilikuwa na mfumo kuzifunika maana ni tabia zisizokubalika kijamii.Waafrika - wakiwemo Tanzania ni tabia ziko miaka na karne. Unataja wamarekani Ulaya...Mbona umesahau waarabu na waasia?tatizo hili limeanzia Nchi za Ulaya na America. Na kama ambavyo sisi nchi za kiafrika tusivyo na msimamo na tabia ya kumuabudu mweupe,nahisi nchi hizi zikitulazimisha kuwatambua hawa watu lazima tutafanya tu.
Na ninasema hayo nikiwa nina uhakika na kile ninachoandika. Mfano AU imeshindwa kuzuia USA na NATO kuivamia Libya. Tutaweza suala dogo kama hilo?
Hilo swali aulizwe papaaaa MS@#%&>,e'anaweza kuwa na jibuKwanza mimi siyo shoga.... Mimi nawajua mashoga kibao na pia Rafiki yangu aliwahi kumfumania mkewe anayefanyakazi pale "Long Room" akisagana na mwenzie anayefanyakazi TIB. kwa hiyo tusijibaraguze, ushoga upo na usagaji upo pia.
Sijui ni wasichana wangapi siku hizi Tigo zao zimesalimika!!
ukifuatilia kwa makini habari zinazochapishwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini tabia za ushoga na usagaji zinazidi kushika kasi. siku hata siku.
Jee kuna haja ya serikali kupitisha sheria zitakazoruhusu mahusiano haya yawe halali kisheria?

usiwe mwoga wa kujadili mambo mazito kwa kudhani watu watahisi wewe ni mhusika. Ukifika Magomeni na Kinondoni mashoga na wasagaji si wakutafuta wamejaa kibao. wewe wa wapi ndugu yetu unayeogopa mambo ya kimji.Swali hili linaulizwa na mhusika nini? Mjadala huu haufai hata kidogo