View: https://youtu.be/jDzJu189nqI?si=UQmWgaNK996arJo3 Naomba atheists ( wasioamini uwepo wa Mungu) mpitie video hii na kutoa majibu kwa uweledi na ustaarabu. Karibuni!
Ulitaka niandike vipi mkuu? Maelezo yapo kwenye video yenyewe ambayo hukuchukua hata muda wa kuisikiliza!!Acha uvivu wa kuandika umeuharibu Uzi wako mwenyewe
Inamaliza bando tupe kidogo muongozo!Ulitaka niandike vipi mkuu? Maelezo yapo kwenye video yenyewe ambayo hukuchukua hata muda wa kuisikiliza!!
Swali linaloulizwa ni WHY IS THERE SOMETHING RATHER THAN NOTHING. Ingekuwa vizuri ukiisikiliza.Inamaliza bando tupe kidogo muongozo!
Mungu wa kwenye biblia ama quran hayupo. Achana na hizo stori zisizo na kichwa wala miguu hakuna cha mungu wala shetaniNashindwa kuelewa kwa nini hapa kwenye forum yetu pendwa kuna atheists ( wasioamini Mungu) lakini hoja hii ya rafiki yangu Josh Heschmeyer nimeileta hapa muda mrefu sana hakuna anayejibu. What conclusion shoud I draw?
Basi achana na na huyo mungu wa biblia na quran wewe jibu hoja iliyo mezaniMungu wa kwenye biblia ama quran hayupo. Achana na hizo stori zisizo na kichwa wala miguu hakuna cha mungu wala shetani
View: https://youtu.be/jDzJu189nqI?si=UQmWgaNK996arJo3 Naomba atheists ( wasioamini uwepo wa Mungu) mpitie video hii na kutoa majibu kwa uweledi na ustaarabu. Karibuni!
Video ni ya dk 46 mkuu. Tufupishie hoja za msingi kwa aya chache, tupo.Nashindwa kuelewa kwa nini hapa kwenye forum yetu pendwa kuna atheists ( wasioamini Mungu) lakini hoja hii ya rafiki yangu Josh Heschmeyer nimeileta hapa muda mrefu sana hakuna anayejibu. What conclusion shoud I draw?
Mimi sijui niko wapi, ni mchanganyiko wa agnosticism, atheism, na ignosticism😂Swali linaloulizwa ni WHY IS THERE SOMETHING RATHER THAN NOTHING. Ingekuwa vizuri ukiisikiliza.
Try Nihilism😄Mimi sijui niko wapi, ni mchanganyiko wa agnosticism, atheism, na ignosticism😂
sibishi kwamba ulimwengu unaweza ukawa umembwa na nguvu flani ya juu. ninachobisha ni kwamba hiyo nguvu haiendani kimantiki na maana ya neno 'mungu' tunayoijua sisi.
Kina Yahweh, Allah, na Buddah, ni rahisi kupinga uwepo wao, kuna hoja za kutosha
Lakini 'a cosmic being' nakosa kiswahili chake, huwezi jua kama yupo au la.
That's a tough pill to swallow.Try Nihilism😄
Mimi sijui niko wapi, ni mchanganyiko wa agnosticism, atheism, na ignosticism😂
sibishi kwamba ulimwengu unaweza ukawa umembwa na nguvu flani ya juu. ninachobisha ni kwamba hiyo nguvu haiendani kimantiki na maana ya neno 'mungu' tunayoijua sisi.
Kina Yahweh, Allah, na Buddah, ni rahisi kupinga uwepo wao, kuna hoja za kutosha
Lakini 'a cosmic being' nakosa kiswahil
Mimi sijui niko wapi, ni mchanganyiko wa agnosticism, atheism, na ignosticism😂
sibishi kwamba ulimwengu unaweza ukawa umembwa na nguvu flani ya juu. ninachobisha ni kwamba hiyo nguvu haiendani kimantiki na maana ya neno 'mungu' tunayoijua sisi.
Kina Yahweh, Allah, na Buddah, ni rahisi kupinga uwepo wao, kuna hoja za kutosha
Lakini 'a cosmic being' nakosa kiswahili chake, huwezi jua kama yu
mimi nashindwa kuelewa,wa2 wengi sana wanaamini uwepo wa hayawani shetani,lakini wengi hawaamini uwepo wa MWENYE-ENZI MUNGU!!!!,,,,sijui kwa nini???? lakini wanashindwa kujiuliza mbona bin adamu ana akili ya kuvumbua vitu kila siku,anaenda shule,anatwala viumbe vyote na wan utaratibu wa kujitawala tofauti na mbuzi????......mbona mbuzi hawaendi shule?mbuzi haohao hawavai nguo wala hawaoni aibu kujaamiana hadharani wakati binadamu tunajisitiri!!!!,,,,,mbona mbuzi uwezi kukuta wamekaa sehemu wakipiga strori,wala wakilamba masanga????,,,,,,binadamu akinyanyaswa wanajiunga na kutengeneza kikosi tayari kwa vita,lakini mbona mbuzi hawatengezi kikosi cha vita!!! labda mmoja tu akionewa ndio anapambana tena na wanyama wenzake,,na silaha yao haibadiliki ni vichwa wakati binadamu sasa tupo kwnye nyuklia,,,haya mambo yenu ya kutoamini uwepo wa MUNGU ndo mambo ya ajabu yanahalalishwa sas kama ushoga,,why?? wa2 hawaogopi tena!!!,,,na nina uhakika asilimia mia!!! hakuna shoga wala basha anaeamini uwepo wa MUNGU!!!!Mimi sijui niko wapi, ni mchanganyiko wa agnosticism, atheism, na ignosticism😂
sibishi kwamba ulimwengu unaweza ukawa umembwa na nguvu flani ya juu. ninachobisha ni kwamba hiyo nguvu haiendani kimantiki na maana ya neno 'mungu' tunayoijua sisi.
Kina Yahweh, Allah, na Buddah, ni rahisi kupinga uwepo wao, kuna hoja za kutosha
Lakini 'a cosmic being' nakosa kiswahili chake, huwezi jua kama yupo au la.
Binadamu amepitia mageuzi akawa sentient(akapata utashi)mimi nashindwa kuelewa,wa2 wengi sana wanaamini uwepo wa hayawani shetani,lakini wengi hawaamini uwepo wa MWENYE-ENZI MUNGU!!!!,,,,sijui kwa nini???? lakini wanashindwa kujiuliza mbona bin adamu ana akili ya kuvumbua vitu kila siku,anaenda shule,anatwala viumbe vyote na wan utaratibu wa kujitawala tofauti na mbuzi????......mbona mbuzi hawaendi shule?mbuzi haohao hawavai nguo wala hawaoni aibu kujaamiana hadharani wakati binadamu tunajisitiri!!!!,,,,,mbona mbuzi uwezi kukuta wamekaa sehemu wakipiga strori,wala wakilamba masanga????,,,,,,binadamu akinyanyaswa wanajiunga na kutengeneza kikosi tayari kwa vita,lakini mbona mbuzi hawatengezi kikosi cha vita!!! labda mmoja tu akionewa ndio anapambana tena na wanyama wenzake,,na silaha yao haibadiliki ni vichwa wakati binadamu sasa tupo kwnye nyuklia,,,haya mambo yenu ya kutoamini uwepo wa MUNGU ndo mambo ya ajabu yanahalalishwa sas kama ushoga,,why?? wa2 hawaogopi tena!!!,,,na nina uhakika asilimia mia!!! hakuna shoga wala basha anaeamini uwepo wa MUNGU!!!!
Kama nimekuelewa hapa hoja yako ni kuwa kwa vile binaadam amaeadvance in knowledge na uwezo kulinganisha na Wanyama kama mbuzi... basi hiyo ina halalisha uwepo wa MUNGU.mimi nashindwa kuelewa,wa2 wengi sana wanaamini uwepo wa hayawani shetani,lakini wengi hawaamini uwepo wa MWENYE-ENZI MUNGU!!!!,,,,sijui kwa nini???? lakini wanashindwa kujiuliza mbona bin adamu ana akili ya kuvumbua vitu kila siku,anaenda shule,anatwala viumbe vyote na wan utaratibu wa kujitawala tofauti na mbuzi????......mbona mbuzi hawaendi shule?mbuzi haohao hawavai nguo wala hawaoni aibu kujaamiana hadharani wakati binadamu tunajisitiri!!!!,,,,,mbona mbuzi uwezi kukuta wamekaa sehemu wakipiga strori,wala wakilamba masanga????,,,,,,binadamu akinyanyaswa wanajiunga na kutengeneza kikosi tayari kwa vita,lakini mbona mbuzi hawatengezi kikosi cha vita!!! labda mmoja tu akionewa ndio anapambana tena na wanyama wenzake,,na silaha yao haibadiliki ni vichwa wakati binadamu sasa tupo kwnye nyuklia,,,haya mambo yenu ya kutoamini uwepo wa MUNGU ndo mambo ya ajabu yanahalalishwa sas kama ushoga,,why?? wa2 hawaogopi tena!!!,,,na nina uhakika asilimia mia!!! hakuna shoga wala basha anaeamini uwepo wa MUNGU!!!!