Swali gumu kutoka kwa Kipanya

Swali gumu kutoka kwa Kipanya

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,268
Wana jamvi nawaomba tuitafutie hii picha maana yake maana mimi nimetoka kapa.
Screenshot_20200309-091057.jpeg

In God we Trust
 
Wanapitia katika tanuru la moto kuelekea 2020!
 
Mapito magumu kuelekea uchaguzi wa 2020 , pia na hukumu ya kesho inaweza leta majonzi makubwa
 
Haina haja ya kujiuliza, kama umepita depo utaelewa

Kuwa hivo ni vikwazo vya upinzani kuelekea uchaguzi 2020
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi maana siyo wote tuliyo pata hiyo bahati ya kwenda jeshini

In God we Trust
 
Mapito magumu kuelekea uchaguzi wa 2020 , pia na hukumu ya kesho inaweza leta majonzi makubwa
Habari ya hukumu hiyo tuiwache kwa jaji na mahakama hapa tupo na kipanya

In God we Trust
 
Habari ya hukumu hiyo tuiwache kwa jaji na mahakama hapa tupo na kipanya

In God we Trust
Mmawia, kesho yetu siyo njema, naogopa sana! definitely kesi haina ushahidi, lkn kwa kauli za Bashiru, nitakutafuta kesho.
Kama una charge sheet ya kesi hiyo niwekee hapa please
 
Hivyo vikwazo si haba bwashee!

Anayeweza kupenya ni Tundu Antipas Lisu pekee!
Mlivyotaka kuondoa uhai wake hamkujua kuwa naye ana haki ya kuviruka hivyo vikwazo?

In God we Trust
 
Kwa mpigania haki za raia popote pale duniani kufungwa haiwezi wala haijawa ajabu.

Siku zote mtawala anataka asikosolewe na kuyagusa maslahi yake hivyo basi kama ukiamua kufanya hivyo ufanye ukielewa kuwa wewe na jera lazima muwe marafiki yaani usiogope kwenda jera
Mmawia, kesho yetu siyo njema, naogopa sana! definitely kesi haina ushahidi, lkn kwa kauli za Bashiru, nitakutafuta kesho.
Kama una charge sheet ya kesi hiyo niwekee hapa please

In God we Trust
 
Back
Top Bottom