pua200
Member
- Dec 24, 2018
- 80
- 44
Una umri gani...sipendi hili swali
Unaendaga wapi mpaka uchukie?
Namjibu napika.Upo kwa toilet unaulzwa "Unafany Nn? uko
Hahaa me mtu akiniuliza mipango yangu simjibu maana nina mipango mingi ya siri kama Freemason.