jaruri
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 716
- 459
Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atafumbua.Ningependa nitumie fursa hii kutafakari mambo mawili matatu kwa kina.Siku mbili zilizopita Mheshimiwa Lisu amesikika akizungumzia nchi yetu kuingia mgogoro na kampuni ya Canada na hivyo kupelekea ndege yetu kuzuiwa isije mpaka kesi ya msingi itakapo sikilizwa.
Kwanza niwatoe hofu watanzania kuwa mgogoro ni jambo la kawaida na kila mahusiano ya binadamu wa kawaida wenye akili timamu za kufikiri kutofautiana ni jambo la kawaida.Kwa mujibu wake(LISU) anasema tuliingia katika mgogoro baada ya kuvunja mkataba na kampuni moja ya ujenzi na hivyo kampuni hii kutushtaki,ok fine kosa ni lipi ? kuvunja mkataba na kampuni ambayo ilikosa vigezo stahiki kuendelea na mkataba? Na mkataba ulivunjwa kwa manufaa ya nani? Jibu ni kuwa ni kwa manufaa ya watanzania.Kila binadamu mwenye akili timamu huwa tayari kufanya maamuzi magumu na wakati mwingine kuna changamoto zake.
Mi binafsi sioni kosa katika hili maana tulikuwa na haki ya kufanya hivyo na kama tulishindwa kesi baada ya kampuni hii kukata rufaa haimaanishi hatukuwa na haki, kumbuka hakimu ni mzungu mwenzao na maamuzi lazima yange wapendelea wao.Sasa wewe mtanzania mwennzangu unaposhangilia na kuita media kuzungumzia hili suala kwa bashasha na mbwembwe zote unafanya hiivyo kwa maufaa ya nani?
Ningekuwa wewe kabla sijaita media ningejifungia chumbani nikalia kwanza and then ningemtafuta mheshiwa Rais kwa simu tungeongea kama ndugu nimpe mawazo na msaada wa kisheria on the way forward kwa kuwa tatizo limeshatokea na kinachotakiwa ni namna ya kutoka hapa na kuenda mbele.Nina uhakika Mheshimiwa Rais angekusikiliza na angesikia ushauri wako.
Najua wengine mnaweza jiuliza kuwa kwa nini serikali iliamua kukaa kimya kuhusu hili suala.Kama baba wa familia huwezi kuwa unazungumza kila kila kitu.Kuna vitu kama baba unatakiwa uvimalize mwenyewe ki-utuuzima bila kuwahusisha watoto ili kuondoa panic zisizo na sababu.
Mwisho inawezekana kweli tunadaiwa baada ya kuvunja mkataba na kampuni ambayo kimsingi ilistahili kuvunjiwa mkataba.Wakaenda mahakamani wakashinda,That does not mean we were wrong kuvunja mkataba in the first place.Kesi zina maamuzi ya ajabu unaweza kuwa na haki lakini kutokana na rushwa ukashindwa.Does that mean uovu umeshinda wema? Does it mean uwe mnyonge na ukubaliane na situation yoyote kandamizi katika maisha yako?
I think hatukukosea na tuko kwenye right truck. Hii changamoto itapita na heshima yetu kama nchi itaendelea kuwepo.
You can buy anything with money even you can be bought, but not our dignity as a Nation
Long live JP;Hapa kazi tu