Hakungekuwa na Tanzania na tusingeona ajabuNchini hehe,sukuma,zaramo........ Nafikri Tanzania tu tungekuwa na nchi 159+ vp Ni sawa.
matatizo ganiNenda kaombewe, siyo kwa hayo matatizo uliyonayo
kwani aliyepoteza uhuru ni Tanganyika ama imaya hizo? Tanganyika ilikuwa mandated state kwa waingereza yes.... Sio from UN bali League of nations. Kiufupi mandated states zilizawadiwa kwa washindi wa vita dhidi ya German. That didn't change anything. Tulikaliwa bado.Duuuuu mleta mada sijui amesoma wapi hadi anachanganya madesa. Kwanza UHURU unapatikana kwa nchi au Dola siyo himaya. Kifupi tu ni kuwa Tanganyika ambayo ilikuwa chini ya udhamini wa umoja wa Mataifa ndiyo ilidai uhuru kutoka kwa hao mabwana. Historia ya majina km Hehe kingdom, Nyamwezi kingdom, Karagwe chiefdom, Tanganyika, Tanzania nk rudi darasani maana ni historia ndefu hapa mtu hawezi kufafanua Kila kitu.
Taifa gani ambalo halikuwepo? Ilibidi ziendelee original kingdomsLengo ni kuleta umoja wa kitaifa
Mbona still zipo as chief alizifuta MwalimuTaifa gani ambalo halikuwepo? Ilibidi ziendelee original kingdoms
Kwanza nikusahihishe kidogo, Tanganyika haikupata uhuru ikiwa mandated territory chini ya the League of Nations bali ilipata uhuru ikiwa trustee territory chini ya UNO ikiwakilishwa na Waingereza.kwani aliyepoteza uhuru ni Tanganyika ama imaya hizo? Tanganyika ilikuwa mandated state kwa waingereza yes.... Sio from UN bali League of nations. Kiufupi mandated states zilizawadiwa kwa washindi wa vita dhidi ya German. That didn't change anything. Tulikaliwa bado.
Swali LA msingi ni kwa nini tuirithi mipaka ya Berlin conference?
Pili kingdom inaweza kuwa independent maana before colonization they were. Hata sasa zipo kama Saudia, Britain, Spain with democracy ndani yake with the exception of Saudi Arabia ofcourse. So nakataa hoja yako. Uswatini ni Kingdom pia.
KiufupiMbona still zipo as chief alizifuta Mwalimu
Thanks for the correction above.Kwanza nikusahihishe kidogo, Tanganyika haikupata uhuru ikiwa mandated territory chini ya the League of Nations bali ilipata uhuru ikiwa trustee territory chini ya UNO ikiwakilishwa na Waingereza.
Kuhusu Eswatini, Britain, and the like ni kuwa Tanganyika had several separate kingdoms and at the same time there were strong chiefdoms within the same region unlike Eswatin, Britain etc ambazo ziliongozwa na mhimili mmoja (dola -chini ya king/queen) with full power. Sasa Tanganyika kila eneo lilikuwa na utawala wake na mamlaka yake. Kifupi Kila mtu alikuwa kambale. Kwa kuliona hili ndio maana Nyerere akapigania UHURU wa wengi(watu wote) badala ya kila kiongozi kupigania mamlaka ya eneo lake.
Pia kumbuka wakati Tanganyika inapigania uhuru strong kingdoms na chiefdoms zilikuwa zimeisha sambaratishwa na wakoloni kwa kuwanyang'anya mamlaka na hivyo viongozi wake kubakia km vibaraka tu wa wakoloni (colonial puppets) na kupoteza legitimacy ya kuongoza watu wao na wengine km akina chief Mirambo nk walikuwa wamefariki bila kuacha strong succession.
In short, Nyerere alitaka umoja wa kitaifa km nilivyoeleza hapo juu. Na ndiyo maana hata baada ya uhuru machifu walipotaka wapewe mamlaka kmili ya kiutawala Nyerere alikataa badala yake alikubali kutambua uwepo wao ktk kusimamia mambo ya mila na desturi ya watu wao bila kuingilia majukumu au mamlaka ya Rais wa Nchi.
Anyway mambo ni mengi tutosheke na hiki kidogo.
Kwa hili am speechless kwa kweli. Ujue historia ili umueleweshe mtu akubaliane na mawazo yako inahitaji maelezo ya kutosha. Hasa ukizingatia kuwa historia ya Tanganyika hadi Tanzania kwa upande wangu naiona km haijitoshelezi kutoa ufafanuzi ulioshiba. Kifupi ni historia isiyo historika. Imefichwa/haijatafutiwa taarifa kwa kina. Hata source zake ni chache sn na haziingii ndani kudadavua kwa kina.Zena
Kiufupi
Thanks for the correction above.
Sasa kuhusu wa Umoja kitaifa haufikiri ulilazimishwa regardless ya status ya hizo chiefdoms? Umoja wa taifa LA lililontengenezwa na wakoloni artificially? Kwa nini asingewakabidhi hawa chiefs then waingie Mizani atleast wafanye semi autonomous states
Asante kwa mchongo wako