Swali: Eti wanawake wana Bikra Ngapi?

Swali: Eti wanawake wana Bikra Ngapi?

Bikira ni moja tu mazee hizo zingine ni njia za uchochoroni ambazo hazihitaji uzinduzi wowote zinakuwaga wazi tu muda wowote
 
Aisee
Nenda shule kaongeze elimu
Elimu haina mwisho
Wakati mwingine tunahitaji common sense na sio elimu ya darasani hizo zingine najua zipo ila halali ni moja tu njia kuu ambayo imewekwa utepe atakayewahi anakuja kuzindua hizo zingine atayezindua hatambuliki hata kidogo,
 
Sawa shemela
Ila akili yako ikivurugwa kimapenzi jua ushachomolewa bikra ya akili
 
Sawa shemela
Ila akili yako ikivurugwa kimapenzi jua ushachomolewa bikra ya akili
Ahaa! Ww hadi akilini kuna bikira jamani, afu haunijui tu kwa umri wangu naweza kuwa mwanao kabisa, ila kwa sababu hatujuani ndo maana huwa najoke na ww
 
Back
Top Bottom