Bikra zipo tatu tu kwa mujibu wa mafundisho:
1. Bikra ya kutomjua mwanaume yeyote
2. Bikra ya kutoolewa ( yaani pengine unamjua mwanaume lakini hukuwahi kuolewa)
3. Bikra ya kutowahi kuzaa ( hii unakuwa nayo hata kama umeolewa ilimradi tu huna mtoto)
NYONGEZA
Hata ujane upo wa aina tatu.
Je unajua hata mwanamke aliyeachika ni MJANE ??
Sent using
Jamii Forums mobile app