Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Hilo no swali nimeulizwa na mdau PM hapa JF
Sa naomba mnaoielewa zaidi mnisaidie
Maana ya Kutetema NI nini?
Sa naomba mnaoielewa zaidi mnisaidie
Maana ya Kutetema NI nini?
ni kutikisa manyonyoHilo no swali nimeulizwa na mdau PM hapa JF
Sa naomba mnaoielewa zaidi mnisaidie
Maana ya Kutetema NI nini?
Ndio naona style ya bongo wachezaji kushangilia magolini kutikisa manyonyo
Itakuwa ni kuvibrate kama vile simu zetu zikiwa zinaita ghafla unaikuta sakafuni...hiyo ndo kutetema.Hilo no swali nimeulizwa na mdau PM hapa JF
Sa naomba mnaoielewa zaidi mnisaidie
Maana ya Kutetema NI nini?
Dohni kutikisa manyonyo
Uuuwi
I see
DohItakuwa ni kuvibrate kama vile simu zetu zikiwa zinaita ghafla unaikuta sakafuni...hiyo ndo kutetema.
OkMie najuaga ni kutetemeka eti
Yule bonge ndio wewe qhehehehehHaahhaha
Uuuwi
Happy Birthday Part 2
Hatareee