Swali: CUF uwepo wenu UKAWA mtapoteza kipi hasa?

Swali: CUF uwepo wenu UKAWA mtapoteza kipi hasa?

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Sitaki kuaminu sana kwamba kinachochelewesha kupatikana kwa mgombea wa UKAWA kunacheleweshwa na kutokukubaliana kwa wanachama wa kawaida ndani ya chama cha CUF na uongozi wa juu! Walishasema watatoa msimamo wao ifikapo tar 25/07/2015.

Hii inasemekana ni kutokana na wanachama wa kawaida kudai kwamba hawana maridhiano na uongozi wao wa juu kuhusu makubaliano wanayoyafanya na viongozi wenza wa UKAWA.wanadai makubaliano ya mgawo wa viti vya uwakilishi wa wabunge na madiwani hauko sawia!

Awali langu kwa WanaCUF;

Je, kuwepo kwenu UKAWA kwa sasa na mkafikia makubaliano yenu faida na hasara ni zipi kulinganisha na miaka ya nyuma hasa?

Je,Mnaburuzwa vipi na CHADEMA kama utaratibu ulikua ni kuangalia ushindi wa 2010 pamoja na kukubalika kwa chama mahali husika?

Je, hamuoni kuendelea kutilia shaka viongozi wenu wa juu kuhusu majadiliano yao na viongozi wenza wa UKAWA mnawapa mwanya maadui wa mabadiliko kupenya?

Je, Hamshtuki kwamba ndani ya chama chenu kuna watu ndumilakuwili na tayari ni mashushushu tokea upande wa pili?
 
Ukawa umeingiliwa na kile kinachoitwa ubabe, cdm wanataka kutumia umungu mtu wao waupeleke ukawa hapo hapatatosha
 
Ni vigumu kufunga ndoa mbili kwa wakati mmoja cuf na ccm visiwani cuf na cdm bara itawezekana kweli ??? Ndio maana tunaona hii dhoruba
 
Prof. simama kidete maana tunajua wewe una nia ya dhati ya kuipigania nchi hii kungoa utawala wa CCM. kama hutaweza kuwashawishi wenzako basi let it be, nendeni kwenye uchaguzi mkuu ujao mkiwa kama CUF ila mkae mkijua UKAWA haiwezi kufa hata kama kitabakia chama kimoja, lazima kitaendelea kumbeba mtoto UKAWA, kwa sababu ameshazaliwa hatuwezi kumtelekeza kwenye mtaro, ni wetu tayari - ni mtoto wa watanzania wapenda mabadiliko lazima atunzwe kwa gharama yoyote ile.
 
Wajitowe mapema maana tumesha choka kusikia CUF CUF!!
 
Watu wa Zbr hujiona km yatima na kana kwamba wanaonewa @ wakati. Kuna mambo msetu ya udini na itikadi. Kuna bonde kubwa ktk kuelewa mambo cdm vs. Cuf
 
Wana mambo ya ajabu sana coz wanamisimamo kama ya maboko haramu.
 
Hawa jamaa wana ajenda nyingine zaidi ya siasa soon tu mtasikia kumbukeni mwaka 2010 Lipumba apimpigia Kikwete kampeni si mlijua nini kilikuwa nyuma ya ile kampeni yake ?
 
Prof. simama kidete maana tunajua wewe una nia ya dhati ya kuipigania nchi hii kungoa utawala wa CCM. kama hutaweza kuwashawishi wenzako basi let it be, nendeni kwenye uchaguzi mkuu ujao mkiwa kama CUF ila mkae mkijua UKAWA haiwezi kufa hata kama kitabakia chama kimoja, lazima kitaendelea kumbeba mtoto UKAWA, kwa sababu ameshazaliwa hatuwezi kumtelekeza kwenye mtaro, ni wetu tayari - ni mtoto wa watanzania wapenda mabadiliko lazima atunzwe kwa gharama yoyote ile.
Prof ni msomi na ni mtu mwelewa sana mkuu! Tatizo surbidinates wake ndio inaonekana tatizo, wengi wao ni wagum mno kuelewa, alishasema tangu aikwa kwao Tabora kwamba yuko tayari kumuunga mkono mgombea yeyote wa UKAWA.Sasa wenzake wanakwamisha jitihada zake.Kwa hali hii ni ngumu sana ku-induce changes hapa nchini.
 
Kama vyama vya upinzani vinaamini kuwa adui yao ni mmoja yaani chama tawala, basi maslahi binafsi ya viongozi au ya chama kimojakimoja sharti yawekwe pembeni. Hilo likishindikana (kama ambavyo tayari kuna sintofahamu kuhusu hatima ya ukawa) chama tawala kitaendelea kutawala na upinzani watabaki wasindikizaji milele.

Ushauri wangu:
1. Kwakuwa watanzania wengi wanatamani mabadiliko na walitegemea kuwa wangeyapata kupitia upinzani, hali ya kusuasua kwa coalition ya vyama vya upinzani kunaonesha wapinzani wanatanguliza ubinafsi zaidi na upo uwezekano mkubwa wa vyama hivyo kuelekea kwenye uchaguzi individually, basi ni busara na pia ni jambo jema wapenda mabadiliko wote (walioko kwenye vyama vya siasa na wale wasiokuwa wanachama) wakajiunga na chama tawala ili wakalete mabadiliko kupitia ccm. As the saying goes...if you can't beat them. join them.

2. Kama option 1 hapo juu inakuwa ngumu kumesa, basi wapenda wabadiliko walioko ccm waachane na chama hicho na kujiunga kwenye chama chenye nguvu zaidi katika upinzani ili kuleta mabadiliko wanayoyataka, hata baba wa Taifa aliwahi kusema.....upinzani imara utapatikana ccm ikimeguka!
 
Hapa ni Chadema ndio atapoteza kuliko CUF kwa jinsi ule mgawanyo wa Majimbo ulivyokuwa. CUF hakuwa na Wabunge hata kumi huku Bara. kwa mgawanyo ule CUF ndio angenufaika zaidi kuliko Chadema sasa nashangaa sana Wanachama wanaoona kuwa eti Ukawa inawameza.
 
Hapa ni Chadema ndio atapoteza kuliko CUF kwa jinsi ule mgawanyo wa Majimbo ulivyokuwa. CUF hakuwa na Wabunge hata kumi huku Bara. kwa mgawanyo ule CUF ndio angenufaika zaidi kuliko Chadema sasa nashangaa sana Wanachama wanaoona kuwa eti Ukawa inawameza.

Mtu wa kuinusuru UKAWA ni Maalim Seif, kwani huu muungano ndio turufu pekee inayoweza kumpeleka Maalim Ikulu ya SMZ.
 
Mtu anayechukua jembe tayar kwa kulima afu anageuka nyuma hafai,kukimbia tatzo si suluhu ya tatzo hilo...
kama CUF wanataka wajtoe ts ok!! Kwani vtabaki vyama vtatu ambavyo vtaweza kuimarisha upinzani, kwa sababu hiyo CUF ndo utakua mwisho wao kwani ctegemei km itapata wabunge wengi
 
Sasa hapa waislamu wameingiaje?? Acha upuuzi ww,nawahurumia wazazi wako bora wangekuwa na gunia la viazi kuliko ww!

CUF = waislamu = shida kwa kuwa huwa wao wanatanguliza udini badala ya nchi mwaka 2010 walimuunga kikwete kisa wameahidiwa mahakama ya kadhi leo iko wap? ndio mana nasema waislamu ni wajinga sana hapa kweny ukawa kuna kitu kama hicho kitaletwa mana walishasema hatukubali padri atutawale kama sio wajinga niwaitaje mimi. mark my words narudia tena waislamu ni wajinga tumien akili umoja ni nguv utengano ni udhaif
 
na nyinyi ni wapumbavu hamna kitu kichwani

matendo yenu yanadhirisha ujinga mkubwa na uelewa mdogo mlionao leo tunahangaika kuondoa ccm pr. wenu anajitahdi kuleta maridhiano na ukawa huku mnaibuka na dai la ajabu ndio mana akili yenu ni sawa mtoto mdogo kila uchaguz mnawaza uislamu wenu utapendelewa vp?
 
Tatizo sio udini tatizo nilipumba anauchu wamadaraka

wakati lipumba ana uchu wa madaraka wenzake wana agenda ya udini mi nakuambia hawa jamaa hawana akili kabisa si utasikia hoja yao tunawasubir
 
Naam Prof Lipumba chondechonde simama kidete uwaelmishe wanachama wako wako faida za kuwa ukawa. CUF itapata zaidi na wala haitapoteza chochote. Hivi kweli mnataka tuingie tena kwenye uchaguzi tukugawana kura ili kumnufasiha CCM? CUF itafaidi nini? Mtatitiro, Sakaya, Maalim, waelimisheni wananchama wenu. Waambieni CUF ni chama cha siasa sio kikundi cha harakati za kidini? Kwa nini mnatutia simanzi dakika za mwisho jamani? Lipumba simama imara km mwenyekiti wa chama. Sijawahi kuona viongozi wa chama wanafanya jambo lenye maslahi kwa chama halafu eti wananchama wa kawaida wakatae? Kivipi? kuna kitu nyuma ya pazia. Yaani hawaamini umakini na akili ya viongozi wao wa juu? Basi wakilazimisha Lipumba jiuzulu. Kinyume cha hapo ni aibu tupu? Waambieni wananchama uchwara hao kwamba CUF sio chama cha kutetea maslahi ya waislam, ni chama cha watanzxania wote!
 
Back
Top Bottom