Swali: CUF uwepo wenu UKAWA mtapoteza kipi hasa?

Swali: CUF uwepo wenu UKAWA mtapoteza kipi hasa?

Ukawa umeingiliwa na kile kinachoitwa ubabe, cdm wanataka kutumia umungu mtu wao waupeleke ukawa hapo hapatatosha

Kama hivyo ndivu nikujitoa tu walibaki wanasonga mbela Ukawa bila Cuf itakuwepo jipangeni wenyewe uhuru niwenu IDD njema
 
watanzania ni wapumbafu halafu hawafikiri kwa undani kwanza tungewalazimisha viongozi wa ukawa watuambie mpaka sasa makubaliano waliyofikia ndo tungeendelea na malumbano
 
Back
Top Bottom