Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Oct 17, 2013 #41 ladyfurahia said: Uongozi huwezi si bora uachie ngazi uwape wanaoweza wewe uliona wapi gamba likajivua na kujivaa tena gamba? wapishe wana cdm tushike nafasi hapo Click to expand... Wewe njegele unaleta politiki za kisiasa hapa..!? we subiri, ukianza kula udongo wa pemba na ndimu akili itakukaa sawa..
ladyfurahia said: Uongozi huwezi si bora uachie ngazi uwape wanaoweza wewe uliona wapi gamba likajivua na kujivaa tena gamba? wapishe wana cdm tushike nafasi hapo Click to expand... Wewe njegele unaleta politiki za kisiasa hapa..!? we subiri, ukianza kula udongo wa pemba na ndimu akili itakukaa sawa..
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Oct 17, 2013 #42 Baba V said: Wewe njegele unaleta politiki za kisiasa hapa..!? we subiri, ukianza kula udongo wa pemba na ndimu akili itakukaa sawa.. Click to expand... heeh! Kumbe we ni gamba?
Baba V said: Wewe njegele unaleta politiki za kisiasa hapa..!? we subiri, ukianza kula udongo wa pemba na ndimu akili itakukaa sawa.. Click to expand... heeh! Kumbe we ni gamba?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,283 Reaction score 108,288 Oct 17, 2013 #43 Honey Faith said: mbona lakini ubavu wako hatujibu chochote au we ndo msemaji mkuu? Click to expand... Mmmh huu mwandiko ni kama vile wa kikongwe fulani vile wa hapa jeiefu...
Honey Faith said: mbona lakini ubavu wako hatujibu chochote au we ndo msemaji mkuu? Click to expand... Mmmh huu mwandiko ni kama vile wa kikongwe fulani vile wa hapa jeiefu...
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Oct 17, 2013 #44 watu8 said: Mmmh huu mwandiko ni kama vile wa kikongwe fulani vile wa hapa jeiefu... Click to expand... Ndo mie kikongwe
watu8 said: Mmmh huu mwandiko ni kama vile wa kikongwe fulani vile wa hapa jeiefu... Click to expand... Ndo mie kikongwe