Well notedYou may not know:
The temperature of the engine and its parts while deriving for long distances on highways is less than driving on crowded streets.
Why?
Driving on crowded streets leads to increase the temperature of the engine. On the other hand, there are several ways to cool the engine when driving on the highways even if for long distances. The car fan and the 120 speed wind cool down the engine and the whole car as well.
Huwa nakaa arround 10 - 15 minutes kutegemea na distance na speed nlokuwa natembea huko njiani.Wadau nina swali, wengi mmeshasikia kwamba usikimbilie kuzima gari ikiwa gari imetoka kufanya safari ya umbali mrefu.
Katika pitapita zangu mitandaoni, nimeona hili angalizo likiwekwa kwa gari zenye turbo tuu ndo ziachwe silence kwa muda kabla ya kuzimwa.
Pia kuna wengine nimeona wakitoa maoni kuwa hii yapasa kwa gari za kizamani, kwani gari za kisasa unaweza zima punde tuu baada ya kufika safari yako.
Swali: ningependa kuuliza wajuzi kipi ni kipi katika swali hilo hapo juu.?
Nishawahi sikia hii.Generally, turning off the naturaly aspirated (Non-Turbo Engine directly will never cause any problem and you can do so even if you drive the car for long distances and for more than 5 hours....
but with a TurboCharged Engine you are mostly likely to damage the turbocharger so u ar adviced to let it cool down for atleast 3 to 5 minutes or u can solve the problem by buyin and install the device called TURBO TIMER which wil help keep the an engine runing and turbocharger spining even after u switch of an engine til the running parts are completely cool down
why?
Cars are designed according to high tolerance standards for all weather conditions. Cars are tested in different weather conditions such as the conditions of the Arabian Gulf climate and its high temperatures and also in the cold weather.
So engines bear high temperatures and you should not always cool the engine before turning it off unless there is a problem in the engine.
You may not know:
The temperature of the engine and its parts while deriving for long distances on highways is less than driving on crowded streets.
Why?
Driving on crowded streets leads to increase the temperature of the engine. On the other hand, there are several ways to cool the engine when driving on the highways even if for long distances. The car fan and the 120 speed wind cool down the engine and the whole car as well.
Unaamini gari ukiiacha idle inapoa? Temp gauge huwa inashuka? Kwa taarifa yako gari ikisimama inapata moto kuliko ikitembea, ndio maana gari zenye auto fan ukisimama tu fan inawaka ukitembea inazima kwasababu ya upepo unaingia kwa mbele kwa speed unasaidia cooling.Mimi huwa naacha gari ipoe Kwa dk 20.....
Naona inafaa Kwa gari yeyote hata isiyokuwa na turbo
tell them bro i gave them technical advice but naona hawanielewiUnaamini gari ukiiacha idle inapoa? Temp gauge huwa inashuka? Kwa taarifa yako gari ikisimama inapata moto kuliko ikitembea, ndio maana gari zenye auto fan ukisimama tu fan inawaka ukitembea inazima kwasababu ya upepo unaingia kwa mbele kwa speed unasaidia cooling.
Gari ina thermostat ambayo kazi yake ni kuhakikisha temp ya engine inabaki ile ile iliokusudiwa ndio maana ule mshale huwa unafika sehemu haushuki wala haupandi hata ukimbie vipi labda gari yako iwe na issue za cooling.
Gari isio na turbo ukifika zima tu wala usijisumbue kupoteza mafuta eti inapoa haipoi infact fan linafanyakazi kubwa kuliko ingekuwa inatembea.
mazoea Yana taabu hiyo njia ya kuacha gari dk 20 tunafanya wengi Sana niliona hata Mabasi nayo wanafanya style hii.... asante Kwa maelezo yakoUnaamini gari ukiiacha idle inapoa? Temp gauge huwa inashuka? Kwa taarifa yako gari ikisimama inapata moto kuliko ikitembea, ndio maana gari zenye auto fan ukisimama tu fan inawaka ukitembea inazima kwasababu ya upepo unaingia kwa mbele kwa speed unasaidia cooling.
Gari ina thermostat ambayo kazi yake ni kuhakikisha temp ya engine inabaki ile ile iliokusudiwa ndio maana ule mshale huwa unafika sehemu haushuki wala haupandi hata ukimbie vipi labda gari yako iwe na issue za cooling.
Gari isio na turbo ukifika zima tu wala usijisumbue kupoteza mafuta eti inapoa haipoi infact fan linafanyakazi kubwa kuliko ingekuwa inatembea.
Mabasi na malori kuna kitu kuhusu oil pump sina detail kamili kama hadi ya kisasa au ya zamani ila sio kupoa engine kwasababu engine inapoa zaidi gari ikitembea kuliko kusimama. Gari yenye rejeta au fan bovu huwa inaumbuka kwenye foleni na si kwenye mwendoMa
mazoea Yana taabu hiyo njia ya kuacha gari dk 20 tunafanya wengi Sana niliona hata Mabasi nayo wanafanya style hii.... asante Kwa maelezo yako
Daaah Kwenye upande wa Magari tunajua vitu nusunusu kumbe!!!Mabasi na malori kuna kitu kuhusu oil pump sina detail kamili kama hadi ya kisasa au ya zamani ila sio kupoa engine kwasababu engine inapoa zaidi gari ikitembea kuliko kusimama. Gari yenye rejeta au fan bovu huwa inaumbuka kwenye foleni na si kwenye mwendo
Generally, turning off the naturaly aspirated (Non-Turbo Engine directly will never cause any problem and you can do so even if you drive the car for long distances and for more than 5 hours....
but with a TurboCharged Engine you are mostly likely to damage the turbocharger so u ar adviced to let it cool down for atleast 3 to 5 minutes or u can solve the problem by buyin and install the device called TURBO TIMER which wil help keep the an engine runing and turbocharger spining even after u switch of an engine til the running parts are completely cool down
why?
Cars are designed according to high tolerance standards for all weather conditions. Cars are tested in different weather conditions such as the conditions of the Arabian Gulf climate and its high temperatures and also in the cold weather.
So engines bear high temperatures and you should not always cool the engine before turning it off unless there is a problem in the engine.
You may not know:
The temperature of the engine and its parts while deriving for long distances on highways is less than driving on crowded streets.
Why?
Driving on crowded streets leads to increase the temperature of the engine. On the other hand, there are several ways to cool the engine when driving on the highways even if for long distances. The car fan and the 120 speed wind cool down the engine and the whole car as well.
Wengine wanasema ukiiacha gari idle kwa muda kidogo baada ya safari inasaidia oil kushuka...hili sijui limekaajeUnaamini gari ukiiacha idle inapoa? Temp gauge huwa inashuka? Kwa taarifa yako gari ikisimama inapata moto kuliko ikitembea, ndio maana gari zenye auto fan ukisimama tu fan inawaka ukitembea inazima kwasababu ya upepo unaingia kwa mbele kwa speed unasaidia cooling.
Gari ina thermostat ambayo kazi yake ni kuhakikisha temp ya engine inabaki ile ile iliokusudiwa ndio maana ule mshale huwa unafika sehemu haushuki wala haupandi hata ukimbie vipi labda gari yako iwe na issue za cooling.
Gari isio na turbo ukifika zima tu wala usijisumbue kupoteza mafuta eti inapoa haipoi infact fan linafanyakazi kubwa kuliko ingekuwa inatembea.
duh ndo maana leo niliweka gar idle kwa muda kidogo ikapata moto had nikaogopa na sio kawaida kama nikiendesha thx for the infoUnaamini gari ukiiacha idle inapoa? Temp gauge huwa inashuka? Kwa taarifa yako gari ikisimama inapata moto kuliko ikitembea, ndio maana gari zenye auto fan ukisimama tu fan inawaka ukitembea inazima kwasababu ya upepo unaingia kwa mbele kwa speed unasaidia cooling.
Gari ina thermostat ambayo kazi yake ni kuhakikisha temp ya engine inabaki ile ile iliokusudiwa ndio maana ule mshale huwa unafika sehemu haushuki wala haupandi hata ukimbie vipi labda gari yako iwe na issue za cooling.
Gari isio na turbo ukifika zima tu wala usijisumbue kupoteza mafuta eti inapoa haipoi infact fan linafanyakazi kubwa kuliko ingekuwa inatembea.
Generally, turning off the naturaly aspirated (Non-Turbo Engine directly will never cause any problem and you can do so even if you drive the car for long distances and for more than 5 hours....
but with a TurboCharged Engine you are mostly likely to damage the turbocharger so u ar adviced to let it cool down for atleast 3 to 5 minutes or u can solve the problem by buyin and install the device called TURBO TIMER which wil help keep the an engine runing and turbocharger spining even after u switch of an engine til the running parts are completely cool down
why?
Cars are designed according to high tolerance standards for all weather conditions. Cars are tested in different weather conditions such as the conditions of the Arabian Gulf climate and its high temperatures and also in the cold weather.
So engines bear high temperatures and you should not always cool the engine before turning it off unless there is a problem in the engine.
You may not know:
The temperature of the engine and its parts while deriving for long distances on highways is less than driving on crowded streets.
Why?
Driving on crowded streets leads to increase the temperature of the engine. On the other hand, there are several ways to cool the engine when driving on the highways even if for long distances. The car fan and the 120 speed wind cool down the engine and the whole car as well.
Kwa ujumla, kugeuka mbali naturaly aspirated (Non-Turbo injini moja kwa moja kamwe sababu tatizo lolote na unaweza kufanya hivyo hata kama wewe kuendesha gari kwa umbali mrefu na kwa zaidi ya saa 5.Alielewa hapa tafadhali anifafanulie kwa kiswahili nielewe pia,samahan lakin
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari ikiwa idle temperature ikapanda above normal jua gari yako Ina tatizo.duh ndo maana leo niliweka gar idle kwa muda kidogo ikapata moto had nikaogopa na sio kawaida kama nikiendesha thx for the info
Inawezekani ni ScaniaGari huwa haichemki kiasi cha kudhurika, kwanza unapokaribia nyumbani huwa tunapunguza speed kati ya dk 15 au zaid so ukifika hom lizime tu haina shods