SWALA LA TRA na Muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SWALA LA TRA na Muungano

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pwito, Sep 14, 2012.

 1. P

  Pwito Senior Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba kwa anayejua kuhusu mambo yaliyokwisha ainishwa kama ni ya Muungano (Tanganyika na Zanzibar) anitajie na hasa nikiwa nimejikita kwenye swala la Kodi au Ushuru unaotozwa. Je TRA ndio hiyo hiyo inayotumika Zanzibar
   
 2. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,292
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  jukwaa la biashara na economic linahusika,
   
Loading...