It depend mkuu, mbona mimi mwanamke ndio huwa ananivua nguo, Note mwanamke hisia zake zipo mbali mno compared to mwanaume, na sio kila mkifika chumbani basi cha kwanza ni kumvua nguo, mpe muda makis kibao yeye mwenyewe ataona unamchelewesha atavua tu.
Hata hiyo Romance ni lazima ifanyike mkiwa mmevaa nguo?
Achilia ule mchezo wa kumshawishi mwanamke akubali tu kuingia ndani ili mkibaki wawili hata kwa nguvu lazima atoe kitu, kuna hili la kwamba, mmekubalina kuwa wapenzi, mmepanga appointment, na mpaka chumbani kaingia mwenyewe lakini kuvua nguo inakuwa issue.
mwanamke mzima kabisa anataka avuliwe nguo zoote, blouse,skiry,viatu, sidiria,chupi, mi huwa nabaki najiuliza hivi huyu akiwa mwenyewe huwa anafanyaje? havui hivi vitu??
wanawake huwa wanamaanisha nini katika hili?
Kwa hiyo wewe akiwa amevua nguo hauwezi kumuandaa?
It depend mkuu, Take note
Chunga maneno yako, ngoja waje wasome wenyewe hii.
Maneno matamu humtoa nyoka pangoni mkuu. Mark these words!