Swala Energy Tanzania

Mkwanzania

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,137
4,322
Wanajamii kuna hii kampuni Swala Energy imetangaza kuuza hisa zake katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE). Nimefanikiwa kusoma prospectus yake inaonekana kuna potentials za kiuwekezaji katika sekta ya mafuta na gesi kwa wazawa japo risks pia ni kubwa.

Wito wangu kwenu ni kuijadili hii kampuni nje ndani ili tujue usalama wa hisa zetu na risks associated. Karibuni sana.
 
Mimi siwajui sana ila si kila kampuni inayosaka mafuta na gesi eti ina ngawira,wengine wachovu tu.Ofisi zao zipo Masaki karibia na Sea Cliff Hotel waweza kuwatembelea na kujua mengi juu yao
 
Nimesoma kwenye website yao kuwa wanafanya shuhuri zao along the Rift Valley na mpaka sasa wanasema kuna sites ambazo zinaonesha potential ya kupata mafuta; hawana record yeyote ya kuonesha uzoefu wa kupata faida katika shuhuri ya mafuta na gesi . Ukiwa mjasiliamali sio lazima upate uwe tayari kukosa pia ndio maana ya kutake risk katika uwekezaji. Kama wasemavyo waswahili UKITAKA KULA LAZIMA NAWE ULIWE!!! Remember any investment in a stock is associated with a degree of risk.
 
Back
Top Bottom