swahili v/s english

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Imekuwa kawaida yetu kutumia english kuonesha tunavyoielewa lugha hiyo vizuri.Tatizo ni kwamba tunatumia baadhi tu ya maneno ilhali mengine hatujaribu kuyatumia kamwe.Wakuu naomba mnisaidie kuibadili sentensi hii ya kiswahili iwe ya kiingereza;'WEWE NI MTOTO WA NGAPI KWENU?'
 
Hapo kiingereza hakijajitosheleza banaaaaaaa.........
 
imekuwa kawaida yetu kutumia english kuonesha tunavyoielewa lugha hiyo vizuri.tatizo ni kwamba tunatumia baadhi tu ya maneno ilhali mengine hatujaribu kuyatumia kamwe.wakuu naomba mnisaidie kuibadili sentensi hii ya kiswahili iwe ya kiingereza;'wewe ni mtoto wa ngapi kwenu?'
hahahaaaaaa!very prezident.
You is child of many yours?
 
Imekuwa kawaida yetu kutumia english kuonesha tunavyoielewa lugha hiyo vizuri.Tatizo ni kwamba tunatumia baadhi tu ya maneno ilhali mengine hatujaribu kuyatumia kamwe.Wakuu naomba mnisaidie kuibadili sentensi hii ya kiswahili iwe ya kiingereza;'WEWE NI MTOTO WA NGAPI KWENU?'

You is child of how many home ? Joke.

Where do you fall in your family's order of siblings?

OR

Which number sibling are you ?
 
Mheshimiwa Kiranga hapo sasa wewe imenipatia namna ya kujitetea.KIMICHIO amenifanya nione aibu kama nimepoteza kwenye kura za maoni.:becky:
 
Sio kila sentenso ya kiswahili inaweza tafasiriwa neno kwa neno kwa kingereza! Na hili ndio tatizo la msingi kwa watu wengi! Tunafikiri kwanza kwa kiswahili halafu ndio unataka kusema kwa kizungu huu hapa mifano niliyowahi sikia
Watu wengi huwa wananichanya na wa Ningeria= Many people always confuse me with nigerian, hiyo niliisikia kwenye talk show live!

Hiyo sentenso hapo juu kwangu mimi nisingewaza kuuliza yeye ni wangapi kuzaliwa! Ningesema hivi
Do you have siblings! Jibu ni yes or no! Kama ni yes nauliza, and you are first or second born? No Im a fourth born
 
Mtu anataka sentensi moja, isiyouliza kingine chochote zaidi ya hilo swali.

By the way unavyowakandia wanaotafsiri Kiswahili kwenda Kiingereza moja kwa moja unajikandia mwenyewe.

and you are first or second born?

Kiswahili tunaweza uliza kwa kusema "wewe ni....?" Kiingereza ukisema "you are..." huwezi kuweka alama ya kuuliza, ukishasema "you are..." hii ni statement, si swali. Ukitaka kuuliza unaanza "Are you.....?" .

Ukiitafsiri hii "wewe ni... ?" Kiingereza unapata "you are...?" kwa hiyo kuuliza "you are first or second born?" si Kiingereza, ni Kiswahili kilichotafsiriwa kwenda kwenye maneno ya Kiingereza, lakini structure ya swali ni ya Kiswahili.

Lakini Kiingereza swali linaulizwa kwa kusema "Are you....?" not "You are...?"

Be careful to adhere to the standards you advocate.
 
Mtu anataka sentensi moja, isiyouliza kingine chochote zaidi ya hilo swali.

By the way unavyowakandia wanaotafsiri Kiswahili kwenda Kiingereza moja kwa moja unajikandia mwenyewe.

Kiswahili tunauliza kwa kusema "wewe ni....?"

Ukiitafsiri hii Kiingereza unapata "you are...?" kwa hiyo kuuliza "you are first or second born?" si Kiingereza, ni Kiswahili kilichotafsiriwa kwa maneno ya Kiingereza, lakini structure ya swali ni ya Kiswahili.

Lakini Kiingereza swali linaulizwa kwa kusema "Are you....?" not "You are...?"

Be careful to adhere to the standards you advocate.
tehe tehe.........! Cambridge sio?
 
Sio kila sentenso ya kiswahili inaweza tafasiriwa neno kwa neno kwa kingereza! Na hili ndio tatizo la msingi kwa watu wengi! Tunafikiri kwanza kwa kiswahili halafu ndio unataka kusema kwa kizungu huu hapa mifano niliyowahi sikia
Watu wengi huwa wananichanya na wa Ningeria= Many people always confuse me with nigerian, hiyo niliisikia kwenye talk show live!

Hiyo sentenso hapo juu kwangu mimi nisingewaza kuuliza yeye ni wangapi kuzaliwa! Ningesema hivi
Do you have siblings! Jibu ni yes or no! Kama ni yes nauliza, and you are first or second born? No Im a fourth born

Maneno si ndiyo haya? Mi mwenyewe kuna kipindi nilipanda mlima wetu huu hapa nyuma ya nyumba.Kuna mzungu mmoja alishindwa kupumua kutokana na mkandamizo wa hewa.Kijana aliyembebea mzigo hakukubali kuonesha haijui lugha akamuuliza yule mzungu tena kwa kujiamini ARE YOU TENT WELL?
 
hahahaahaaaaaaaaaaaaaa!
 
Wakulu je ukisema hv inakuwaje wajameni>...how many seniors you in your family? najaribu tu kuwakilisha maana mashikolo mageni genaya gete.

Bebe nangh'o wandya!
Kama ulitaka kujibu swali la jamaa "wewe ni mtoto wangapi kwenu" bado uko mbali! Binafsi nimechemka!!!!
 
Nimesema mimi Maimunaaaaaaaaaa!...............:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
Back
Top Bottom