Nice work, keep up making tutorials, nimependa sana ulivyoi~pimp vim yako.
Naipenda Vim kama nafanya kazi zinazoinvolve HTML/CSS/JavaScript ila nikiwa natumia mfano Java, C++ there's no way nakimbia IDE especially kama ni project kubwa inayohitaji thousand lines of code, IDE ni very powerful than vim kwa hizi languages, vitu kama autocompletion, package management, realtime error correction. Vim ingekua as powerful as something kama eclipse kwenye hizi languages ningeweka pembeni kabisa IDEs, napenda sana command line its just very fast.
Hehe ila umenichekesha sana kweye video yako ya GoLang, channel ni Swahili Programming lakini baada ya sekunde 30 za kwanza umemwaga ngeli mwanzo mwisho.