Swahibas

hahaha, ndio maana mwandosya haachani naye hata kama waligombania kidogo urais kipindi kile.
 
JF is gifted with curious minds...I wonder from which Archive this picture was dug..Good intel..
 
hii midevu ya mshkaji nayo......duh!!! utafikiri ya kuchora.


 
hiyo midevu imetengenezwa au nini hicho?
 
Kikwete utalii haajaanza leo, naona kamtwisha Mwandosya kamera ili awe anampiga mapicha.
Kikwete yuko busy na kuangalia mandhari, Mwandosya yeye ni KUSOMA tu muda wote.
Hiyo ndiyo tofauti ya msanii na profesa wa ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…