SWAGA ZA POLISI AKITONGOZA:
Unajua Darling nakuthamini zaidi ya POSHO na MSHAHARA,
bila wewe siwezi kuishi, ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio,
Nitakueshimu kama LINDO,
wewe ni IGP wa moyo wangu daima.
Mbona kimya? Nijibu basi nipate kufungua JALADA ndani ya moyo wako.
Usinifanye moyo ukanienda mbio kama DEFENDER MPYA,
Nitakuwekea usalama kama msafara wa RAIS,
Nina RB ya penzi lako mpenzi wangu,
usiniweke roho juu km maandamano ya CHADEMA!