Hizo swaga zinategemea ni wapi ulikuwepo, hao unaotuonesha naona wengi wao ni Wamerekani. Tuonesha wa hapa nyumbani
Huyo picha ya pili ni Andrea The Giant na hapo akiuonesha u giant wake. Nakumbuka alikuwa ni "wrestler" na muigizaji wa filamu. Kati Filamu maarufu alizocheza ni James Bond, Moonraker.