Swaga ya Kitaa

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Maisha Bora kwa kila waziri, Bora Maisha kwa Kila Mtanzania.

hii nimeisikia kwa jamii ya watu fulani huko mitaani. Imekaa ki Chichat but Ni siasa iliyojificha.

Nafikiri sio upepo mzuri kwa serikali hii ya CCM.
 
Back
Top Bottom