Suzuki swift for sale

Suzuki swift for sale

Mamamkwe

Senior Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
128
Reaction score
57
Suzuki swift
Rangi Silver
Mwaka 2003
Automatic
1300cc
Mileage116,000 km.
Inauzwa 8.6m
Ipo Dar es salam.
Mawasiliano 0754379190

Imekwishalipiwa kodi zote za ushuru na hata bima. Wewe unaendesha tu

uploadfromtaptalk1377255283551.jpg




Ni ya ndugu yangu mkiwasiliana anaweza kukupunguzia kidogo
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1377255199290.jpg
    uploadfromtaptalk1377255199290.jpg
    44.2 KB · Views: 302
Sidhani kama atakubali kwani ni amelinunua ivi karibuni kwa bei zaidi ya hiyo.Lakini mpigie mimi sio mwamuzi.Nimemsaidia tu kulitangaza kwani yeye hajajiunga humu.
 
Mkuu unaweza kuni pm na nione picha zake na detail zake zingine
 
Yaani natamani kushika fimbo na kuwachapa. Mnaharibu tangazo la mwingine makusudi. Yaone kwanza. Jokanana gari imekwishanunuliwa ila ipo nyingine nayo haijatembea bei inaanzia 8m.Maelewano yapo inapatikana kwa namba 0653925863.sifa zafanana na lile la kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom