Suzuki Grand Escudo: Ipoje >> Speak, Mafuta?

Suzuki Grand Escudo: Ipoje >> Speak, Mafuta?

We sema huna option tu,wengi wenu uwezo ndio umeishia hapo, utasikia oooh hii gari ni ngumu sana ni roho ya paka,wakati vinawahenyesha kweli kweli,wenzenu bongo zinasoma 2021 nyie bado mko 1995
Hawana hela za kununu gari nzuri......
wanajifanya kuponda
 
Haina shida mkuu, ila kama walivyotangulia kushauri wadau hapo juu kama ishu ni wese nunua IST tu maana mafuta haya ambayo lita moja ina kodi zaidi ya 32 ni shida sana. Ila usije kujaribu Nisaan sijui Dualis sijui Extrail utakuja kunishukuru baadaye
 
Nissan imeingiaje hapa?
 
Kama ni mtu wa shamba chukua Suzuki Escudo ya kuanzia mwaka 2001 mpaka 2005, 4 Cylinder,cc1990.
Ukipata 5 speed Manual gearbox utaenjoy zaidi. Kazi kwako
6 cylinder vp chief. Ile yenye 7 seats!

BK473239_a29ece.jpg

BK402771_a2b960.jpeg
 
Back
Top Bottom