Suzuki escudo

Suzuki escudo

Pafyum

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
211
Reaction score
113
Habari zenu wanajamvi

Naomba kupata msaada wa maelezo kuhusu SUzuki escudo ya mwaka 2001, cc 2000, petrol inayoonekana katika picha hapa chini katika ishu ya uendeshaji (Namaanisha mafuta). Je ni economy? Lita moja ya mafuta inakwenda kilometa ngap?

01w.jpg
 
Unatakiwa kujiridhisha kimoja tu iwapo hiyo ni 4 cylinder au 6 cylinder,(waulize hao wajapan) iwapo ni 4 cylinder hope haitakuwa na consumption kubwa sana japo ni 2000c, lakini kama ni 6cyliner, hata ikiwa na 1990c itakucost kwenye mafuta, ni hayo tu ingawaje ggari model hizo nyingi ni 6cylinder, ushauri tafuta kama hiyo yenye 1600cc ambayo itakuwa 4cylinder
 
NIGGA njoo umshauri na huyu mimi nilifanikiwa mkuu
suzuki_escudo_a1160627417b1053607_2.jpg
kitu hicho exactly
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom