Suzuki escudo inakula mafuta sana

Mkuu let me share with you story yangu

Nina suzuki escudo ya 1994, niliipaki kwa mwaka mmoja mwaka jana mwishoni nkaamua kiamsha, nkaipiga service kubwa na kila kitu, ikawa ina shida ya kuchelewa kubadilisha gear...
Naomba nitumie namba
 
Mkuu let me share with you story yangu

Nina suzuki escudo ya 1994, niliipaki kwa mwaka mmoja mwaka jana mwishoni nkaamua kiamsha, nkaipiga service kubwa na kila kitu, ikawa ina shida ya kuchelewa kubadilisha gear, yan gari zito bila sababu, nkasafiri nalo kama km 650 Hivi kija Dar...
Unaweza kumpata huyo fundi kaka?
 
Back
Top Bottom