fatu2010
Senior Member
- Mar 4, 2014
- 173
- 142
Wakuu naomba kwa upendo kabisa mnipe maoni yenu. Kati ya hizi gari mbili ipi ni zaidi?
1
2
Ninataka nianze 2015 kwa kutembea nimekaa please nipeni ushauri kwa jinsi mnavyozijua , ubora na uzuri wa muonekano.
Natanguliza shukrani
1
2
Ninataka nianze 2015 kwa kutembea nimekaa please nipeni ushauri kwa jinsi mnavyozijua , ubora na uzuri wa muonekano.
Natanguliza shukrani