Suzuki escudo 1998-2000

Picha mkuu

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Umeipendea nini hiyo gari wakati kuna gari nzuri na zenye kutumia mafta kidogo. Na kwa bei hiyo unapata gari nzuri sana.

Mfano: Raum na ist. Hiyo gari uliyoitaja sijawahi kuipenda hata kidogo labda kama wewe ni mzee.
 
Nenda Facebook kuna kitu kinaitwa Tanzania online market utakutana na magar ya kila aina na bei za kila aina

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
IMG_20170703_145300.jpg

Cheki hii hapa ninayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom