Suzuki Carry Nzuri kwa biashara ..

kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,975
3,828
wakuu habari zenu,

nataka kuagiza suzuki carry kadhaa kwa ajili ya biashara, sasa kwa kuwa mm sina uzoefu na aina hizi za magari naomba mtu anipe kidogo elimu kwenye aina ya hizi suzuki carry , ubora wake , upatanikanaji wa spare parts na vitu vingine vya muhimu ambavyo ningetakiwa kujua..

ahsanteni
 
Ni biashara nzur sana me naifanya huu mwaka watatu sasa ila akikisha mtu unaye mpa awe anajitambua anaye jua kutunza gari wekeanane mkataba nzuri wenye maslai kwake na kwako kitia vibali vyote ila bima kata bima kubwa itakusaidia
 
Back
Top Bottom