zebanga watelanga
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 862
- 398
- Thread starter
- #21
Jaman bei imepungua nashida ya hela 3.8 fixed nicheki 0712690760 tufanye biashars
Ngoja niendelee kusubiri. Labda bei itashuka zaidi.
Watanzania sijui ni lini tutaondokana na ujinga!!hizi gari kwa kuagiza unapata kwa million tano hadi mkononi mwako,ikiwa na kilometre chache,hali nzuri,4wd,n.k sasa hii imetumika hadi imechoka alafu unaenda kununua kwa laki 5.8 kama sio ujinga ni nini??
Huyu mdau anauza gari, hivyo wewe unapaswa kuwasiliana naye kama unalipenda na una hela kama hauna na haulihitaji kaa kimya, mambo ya sijui kuagiza nje yanaingiaje hapa? kama unalijua hilo si uagize basi yaishe, mbona unapenda sana kujaza kurasa kwa mambo yasiyo na msingi?