Suzuki carry inauzwa 5.8mill

Suzuki carry inauzwa 5.8mill

zebanga watelanga

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
862
Reaction score
398
gar naiuza imetembea kilometa 120000'4 wd Gear TANO ni manu GAR LIPO KIKINONDON DARESALA bei mill5.8 inapungu vibal vyote vimelipiwa simu 0712690760 au 0712777233 inapungua bei
 
Attachments

  • 1430584950330.jpg
    1430584950330.jpg
    77.9 KB · Views: 706
Huo ni uhuni huwez piga picha kihuni sehemu unayotaka uonekane tu ndo unaionyesha
 
Watanzania sijui ni lini tutaondokana na ujinga!!hizi gari kwa kuagiza unapata kwa million tano hadi mkononi mwako,ikiwa na kilometre chache,hali nzuri,4wd,n.k sasa hii imetumika hadi imechoka alafu unaenda kununua kwa laki 5.8 kama sio ujinga ni nini??
 
Wewe acha uongo usiongee vitu usivyovijua kaa kimya
 
Onyesha nilipoongea uongo.

Ingia kwenye mtandao tuoneshe suzuki carry Cif yake alafu ingia kwenye calculator ya tra tuoneshe kodi yake then tuwee na port charges hapa ndio utaamini kwamba wewe muongo alafu unaongea vitu usivyovijua. Kama ukishindwa mm nikuoneshe
 
Watanzania sijui ni lini tutaondokana na ujinga!!hizi gari kwa kuagiza unapata kwa million tano hadi mkononi mwako,ikiwa na kilometre chache,hali nzuri,4wd,n.k sasa hii imetumika hadi imechoka alafu unaenda kununua kwa laki 5.8 kama sio ujinga ni nini??

Nachukizwa sana na watu wa namna hii...kama we huwezi kununua kausha tu...mnunuaji ataenda kuona bidhaa..akilidhika nayo watafanya biashara,unaongea utadhani Hiyo pesa unatoa wewe..acheni tabia ya kukurupukia post za watu..mnaboa kinyama..kama unataka kuwa mama ushauri Fungua center ukawashauri sio kupitia post za watu...
 
Watanzania sijui ni lini tutaondokana na ujinga!!hizi gari kwa kuagiza unapata kwa million tano hadi mkononi mwako,ikiwa na kilometre chache,hali nzuri,4wd,n.k sasa hii imetumika hadi imechoka alafu unaenda kununua kwa laki 5.8 kama sio ujinga ni nini??

Acha story zako za vijiweni, labda kama ulinunua miaka 4 iliyopita ila sio sasa hivi.
 
Kodi ya TRA: 3,213,888/=
TRA CARRY.jpg

Bei ya Japenga:1,213 USD = 2,444,195/=(1USD = 2,015)
JAPAN CARRY.jpg

Bei ya Kununulia + Kodi ya TRA =5,658,083/=
Other Charges😛ort Charges+Agent Fee+Shipping Line,Appr~ 500,000/=

GRAND PRICE: 6,158,083/=
 
Watanzania sijui ni lini tutaondokana na ujinga!!hizi gari kwa kuagiza unapata kwa million tano hadi mkononi mwako,ikiwa na kilometre chache,hali nzuri,4wd,n.k sasa hii imetumika hadi imechoka alafu unaenda kununua kwa laki 5.8 kama sio ujinga ni nini??
Duh,umevyoanza nilifikira una fact za ukweli.
Yaani wee ndio muongo wa kutupa,yaani unaona humu watu wageni wa magari na wewe ndio unajua saaana.
Anyway,tumekuona na wewe ume comment.
 
Wabongo bhana hivi vigari asili yake vilikuwa vinauzwa bei poa watu wakavivamia jamaa wauzaji wakavipandisha bei serikali nayo ikaongeza kodi watu wakavinunua kwa fujo kwa ajili ya kuweka kijiweni kule vijiweni kazi hakuna matajiri hawapelekewi hela kwa hasira wanaamua kuviuza
 
Japan unawasingizia hawajapandisha bei, bali bei imepanda kutokana na dollar kupanda na serikali yako nayo kuongeza kodi maana mwaka wa fedha uliopita ilikuwa 1.8m lakini mwaka huu wa fedha vinafika hadi 3.5m sasa ukiachanganya na dolali ndo duuuuu
 
Eti nasikia kuvichukulia ZNZ kuna unafuu ni kweli ???????????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom