Bado ipo wadau changamkeni.
Cheki kwenye picha hapo juu we zoom ujionee mwenyewe mileage
Nauza Carry yangu kwa 5.5 milioni. Hakuna maongeza.
Reasons : Nimeshindwana na madereva.
Odometer: Angalia kwenye picha hapo chini.
Drive: 2 Wheel Drive.
Condition: Nzuri imeingia mwaka jana mwezi wa nne.
0687702626.