Suzuki carry 1999

Suzuki carry 1999

Kidagaa

Member
Joined
Nov 17, 2008
Posts
9
Reaction score
0
Msaada kwenye tuta. Nataka kuagiza gari Suzuki Carry ya mwaka 1999. CIF ni USD 2146 mpaka Dar. Je natakiwa nijiandae kodi na malipo mengine kama bei gani? Vipi nikiwa naweza pata exemption? Msaada wenu utanisaidia kufanya maamuzi sahihi. Nimeshindwa kabisaa kutumia kikokotoo cha TRA, Tafadhari. Natanguliza shukrani.
 
Kila kitu andaa kama Tzs 3,000,000/- hivi.

Btw ni Suzuki Carry ya aina gani? Macho duara, Macho box au bichwa?
Check PM
 
Kila kitu andaa kama Tzs 3,000,000/- hivi.

Btw ni Suzuki Carry ya aina gani? Macho duara, Macho box au bichwa?
Check PM

Mkuu nisaidie na mimi.
Ni SUZUKI CARRY ya macho ya aina gani ni nzuri zaidi na uzuri huo ni uzuri gani?
Ninamaanisha ubora.
 
Mkuu nisaidie na mimi.
Ni SUZUKI CARRY ya macho ya aina gani ni nzuri zaidi na uzuri huo ni uzuri gani?
Ninamaanisha ubora.
Macho box niliambiwa na fundi wangu ndio poa.
Macho duara (macho meusi) wanasema sio mbaya nazo but Suzuki Bichwa Ndio wanadai ni kimeo.

Why? I don't know mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom