SUV kali za kichina hizi hapa

SUV kali za kichina hizi hapa

Lamborgini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
412
Reaction score
534
Hii hapa orodha ya SUV 3 za kifahari kutoka China,nmechagua chache zilizonivutia zaidi mchina anakuja vizuri sana kwenye tech gari zipo kisasa sn aisee pia zinavutia sana ndani na zinafeatures nyingi, kuna Aito M9, Li Auto L9, na Denza N9 zikiwa na bei kwa TZS.

🚙 1. Aito M9

🇨🇳 Brand: AITO (Huawei + Seres)
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (EREV) au Full Electric
💰 Bei ya makadirio: TZS 172M – 198M
🎨 Rangi zinazopatikana:

Deep Black

Elegant White

Champagne Gold

Sky Grey

Midnight Blue

Sifa kuu:

Full-size 6-seater SUV

Huawei HarmonyOS cockpit

25-speaker sound system

Heads-up Display (HUD) ya AR

Upakiaji wa haraka hadi 240 kW

Mileage: hadi 630 km (EV) au 1,400 km (EREV)
1751805530081.jpeg

1751805589250.jpeg

Ina interior ya bomba sn

🚗 2. Li Auto L9

🇨🇳 Brand: Li Auto
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (EV + Petrol Generator)
💰 Bei ya makadirio: TZS 165M – 185M
🎨 Rangi zinazopatikana:

Space Grey

Deep Green

Ice White

Titanium Silver

Dark Purple

Sifa kuu:

6-seater premium SUV

3 large screens + HUD

Smart cockpit na 3D face recognition

Air suspension + 4D comfort

Mileage: hadi 1,315 km

Kamera 12 + sensors kwa autonomous drive
1751805681620.jpeg

Kwa wapenda starehe ipo comfort sn
1751805934276.jpeg

1751805959397.jpeg

Kwa nje ipo clean sn nmependa sn light bar zake,kwa design wametisha sana aisee.
Nmewahi kuiona moja dsm, zishafika dubai kwa sasa so unaweza kuileta bongo tatizo hawana right hand drive.

🚘 3. Denza N9

🇨🇳 Brand: Denza (BYD + Mercedes-Benz partnership)
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (PHEV)
💰 Bei ya makadirio: TZS 118M – 158M
🎨 Rangi zinazopatikana:

Glacier White

Onyx Black

Sapphire Blue

Platinum Grey

Burgundy Red

Sifa kuu:

6-seater high-performance SUV

3 electric motors + 2.0L petrol (AWD)

0–100 km/h in ~3.7 sec

Premium leather interior

Panoramic roof + ambient lighting

Mileage hadi 1,300 km
1751806397201.jpeg

1751806413734.jpeg

1751806432409.jpeg

Katika zote hii ndo yenye nguvu zaidi byd hawana masihara, pia naona hii imekaa kiheshima zaidi, hii kitu ni luxury zaid ya lc300.
Inaanza kuuzwa mwaka huu, na uwezekakano wa kuja bongo ni rahisi iwapo wataanza kuuza australia na afrika kusini(sauz usukani kulia kama bongo) ambako wanamatawi tayari.

N9 is my favourite,
Nambie we umeikubali sana ipi.

Cc: Lambo
 
Hii hapa orodha ya SUV 3 za kifahari kutoka China,nmechagua chache zilizonivutia zaidi mchina anakuja vizuri sana kwenye tech gari zipo kisasa sn aisee pia zinavutia sana ndani na zinafeatures nyingi, kuna Aito M9, Li Auto L9, na Denza N9 zikiwa na bei kwa TZS.

🚙 1. Aito M9

🇨🇳 Brand: AITO (Huawei + Seres)
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (EREV) au Full Electric
💰 Bei ya makadirio: TZS 172M – 198M
🎨 Rangi zinazopatikana:

Deep Black

Elegant White

Champagne Gold

Sky Grey

Midnight Blue

Sifa kuu:

Full-size 6-seater SUV

Huawei HarmonyOS cockpit

25-speaker sound system

Heads-up Display (HUD) ya AR

Upakiaji wa haraka hadi 240 kW

Mileage: hadi 630 km (EV) au 1,400 km (EREV)
View attachment 3396353
View attachment 3396354
Ina interior ya bomba sn

🚗 2. Li Auto L9

🇨🇳 Brand: Li Auto
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (EV + Petrol Generator)
💰 Bei ya makadirio: TZS 165M – 185M
🎨 Rangi zinazopatikana:

Space Grey

Deep Green

Ice White

Titanium Silver

Dark Purple

Sifa kuu:

6-seater premium SUV

3 large screens + HUD

Smart cockpit na 3D face recognition

Air suspension + 4D comfort

Mileage: hadi 1,315 km

Kamera 12 + sensors kwa autonomous drive
View attachment 3396357
Kwa wapenda starehe ipo comfort sn
View attachment 3396363
View attachment 3396364

View attachment 3396368
View attachment 3396369
View attachment 3396370

Mvimba macho si muda mrefu ana mu overtake kiranja wa dunia
 
Achana na hizi, nifanyie makadilio ya byd seagull nione kama naweza jilipua
 
Mtoa mada huwezi sasa hivi kuelezea Chinese suv bila kuitaja Byd Yangwang U8, wachina wenyewe wanaitumia kama brand ya nchi kwa sasa hata bei yake ni mkasi, bei ya kununua tu ni zaidi 150,000usd
 
Attachments

  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    48 KB · Views: 20
  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    41.9 KB · Views: 21
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    51.9 KB · Views: 27
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    53.5 KB · Views: 25
Mtoa mada huwezi sasa hivi kuelezea Chinese suv bila kuitaja Byd Yangwang U8, wachina wenyewe wanaitumia kama brand ya nchi kwa sasa hata bei yake ni mkasi, bei ya kununua tu ni zaidi 150,000usd
Nlisema nmechagua chache zilizonivutia, naijua hiyo na ushuru apo 200k plus si affordable.
 
Mchina ni konyo sana aiseee, alianza na pikipiki akaja kwenye malori na mabasi, sasa anakuja kwa kasi kwenye gari ndogo.
Unanua chuma mpya Okm kwa bei ya kizalendo.
Hizi hapa ni SUV za Howo, yaani mpaka 2035 soko lote la Afrika litakua ni lao. View attachment 3397259View attachment 3397260View attachment 3397261View attachment 3397262View attachment 3397263View attachment 3397264
Pick up za mchina nmeona kibao bongo kama haval,GMW na foton wanatumia sn polisi skuiz,china wanakwenda kuangusha utawala wa toyota,kama toyota alivomuangusha Land rover na defender.
 
Back
Top Bottom