SUV kali za kichina hizi hapa

SUV kali za kichina hizi hapa

Hizo gari zote ni balaa Sana.... baada ya Miaka kadhaa hakutakuwa tena magari ya kijapan Acha tusubiri tupate uzima tu
 
Tatizo mafundi wetu sasa. Kama Audi, Land Rover and the likes zinawapiga chenga na wanasema "umeme mwingi".

Haya matoy ya kichina si watafanya yaungue barabarani kila siku!
 
Back
Top Bottom