Suti iliyozusha mjadala

U-handsome unatusaidia nini sisi. Wakati mwingine huwa naona kichefuchefu kusoma habari zonazohusu u-handsome wa mkwerre. Watanzania tunaendekeza mambo hata yasiyo na mbele wala nyuma. Kama ni uzuri wa sura inatufaidia nini sisi!! Ptuuuuuu!!!!"
 
Uongozi, kama uongozi wa nchi, unaendana na kuhakikisha unazungukwa na vichwa vinavyoweza kutoa ushauri. Nikiangalia hii picha Kikwete si kiongozi maana anazungukwa na vilaza watupu.
 
aaah wapi suti ipi hapa hakuna suti amevaa koti la wapi sijui
shati sijui wapi tai sijui wapi ah

Unaposema suti iliyozusha mjadala unamaana moja ya zile suti mkweree alizopewa na waarabu? Lakini kama ni hivyo hapa mbona hajavaa suti?
 
Yaani msafara wote huu kuanzia waziri mkuu, mambo yanje, makamu wa raisi, wake zao , RPC Kova nyuma pale anakenua, kaka wa raisi nk. wanamsindikiza raisi??? Kweli serikali yetu imekosa kazi ya kufanya.
 
duhhhhhhh
hapo nimeona Jacket la suti..
Hii bora hata angekataa rangi haiendani nae kabisa...

Nadhani hii inaitwa 'blazer' au nimekosea wataalamu wa mavazi? Yaani hilo koti linavaliwa ki peke yake.
 
Rais nkachemka, yan katupia kitu cha kachumbari ...ahhaahhaha
 
itifaki imezingatiwa kweli hapo?membe atakuwaje mbele ya pinda?au kashaanza kujiona rais kabla ya 2015?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…