CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 158
Jamani, msinichoke,
Naanza kuwekeza rasmi (I am taking risk).
Naomba kujua hivi vi-pick ups vidogo vidogo sijui vinaitwa SUZUKI CARRY, HIJET n.k vinauzwa bei gani?
Showroom ni bei gani na ni showroom gani ina be nzuri? Kwa kuagiza ni bei gani jumla mpaka inatembea barabarani?
Na ni vya aina gani vizuri, maana nasikia sijui kuna Suzuki macho duara, macho mstatili, Zuzuki bichwa n.k
Nahitaji cha kubeba vyakula vya mizigo na kupeleka bidhaa mjini na kusaidia shughuli ndogondogo nyumbani.
kinauzwa mil 7 nunua tata
Nakushauri Suzuki Carry, hasa ukipata 4WD. Ukiagiza inacheza kwenye mil 7 mpaka kuitoa
Mkuu suzuki ndio yenyewe na kama huna shughuli nzito na njia nzuri chukua 2 wheel maana 4 wheel zinasumbua. Kuagiza inasimama 6.5 mpaka7ml.
Shukrani sana kwa ushauri!
Nipe 6.3mil nikupe changu kimeingia September Mwaka huu.
Bima ni comprehensive!!
Umeipata kutoka showroom gani? 7.5m ni bei reasonable.Nimeshapata kwa 7.5M toka yard/ show room...
Tumia AON watakukatia kwa Jubilee Insurance. Ndio wako juu kwa sasa
Asante ndugu,
Hao AON ofisi zao ziko wapi?
Asante ndugu,
Hao AON ofisi zao ziko wapi?
Call 0753432011 kwa huduma ya bima. Wanaitwa eagle insurance. Ofisi iko mikocheni ukitokea tmj/mayfair ni kabla tu ya kufika njia panda ya cocacola. AoN ni insurance kubwa na wasumbufu sana