Opssssss Pole ..naona hujaipenda taarifa..pumbafu zaoo..huu ni ukoloni.hiki kizazi cha hivi vizee sijui kitaisha lini,viondokee zao ndio nchi itatulia na elimu itaimarika kwa haki.
hadi wazazi wako au ni hawa wazazi we2 2 ndio unao waombea waondoke?pumbafu zaoo..huu ni ukoloni.hiki kizazi cha hivi vizee sijui kitaisha lini,viondokee zao ndio nchi itatulia na elimu itaimarika kwa haki.
changia JFhadi wazazi wako au ni hawa wazazi we2 2 ndio unao waombea waondoke?
wa2 mlosoma india mna matatzo sana.vyuo vya tz sijui huwa mnasoma muda gani coz wkt wote ni mifarakano tuuu, acheni waliosoma nje watambe maofisini mbaki mnalalama.... tena ni risky kuajiri watz maana watakuwa wanaleta migomo kazini kila leo,jasir(l)i haachi asili
heheheh..! Mkuu hapo umeniacha hoi sana! Umenikumbusha kuna best flan tulimaliza wote A-level shule flan ya girls, ye si akala '0',! Afta sometimes tukaskia anasoma llb india! Tukabaki na mshangaowa2 mlosoma india mna matatzo sana.
mbona wa hvo wako wengi 2 mkuu,akiwemo na huyo jamaa hapo juu!!heheheh..! Mkuu hapo umeniacha hoi sana! Umenikumbusha kuna best flan tulimaliza wote A-level shule flan ya girls, ye si akala '0',! Afta sometimes tukaskia anasoma llb india! Tukabaki na mshangao
teh teh teh, teh!mbona wa hvo wako wengi 2 mkuu,akiwemo na huyo jamaa hapo juu!!
kwi kwi kwi kwimbona wa hvo wako wengi 2 mkuu,akiwemo na huyo jamaa hapo juu!!
wa2 mlosoma india mna matatzo sana.
ina maana hujui kuwa udom ni chuo cha kata na ccm....DC na VEO tena?. Hao si ma kada?
kwa hyo we unaona wanafunz kudai haki zao za msingi ni kosa?mkuu hujanielewa, sijasoma india nadhani kama huwa unafuatilia mijadala redioni/tv kuhusu employability ya wanafunzi wa tz utakuwa umenielewa... tuache ushabiki wkt mwingine kila kitu serikali serikali... imeua elimu lkn hatuangalii pia upande wa mwanafunzi (tunaassume mwanafunzi ni saint)post yangu ya hapo juu ni kwamba kuna mada "tz vs abroad graduates : who would you hire and why" ilishajadiliwa miaka 3/4 hivi iliyopita na hiyo ndiyo ilikuwa conclusion (wengi waliojadili walikuwa ni employers) yao.
Hebu muulize tena, nadhan hajakusikia! Watu wengine bwana! Sijui ni makada? Hiv hajui kama wanafunzi walioko katika hatari ya kufukuzwa chuo ni hasa wale waliokuwa wanajulikana kama wafuasi wa chadema? Tukiachana na hilo nadhani pia hajui nin chanzo cha mgomo! Kwa taarifa yake chanzo cha mgomo ni waziri wa elimu kuwadanganya full stopppp....!kwa hyo we unaona wanafunz kudai haki zao za msingi ni kosa?