Suspected Islamists behead 10 in Mozambique

Suspected Islamists behead 10 in Mozambique

Unakosea ukisema ni watanzania. Kuna sehem nimekwambia asilimia kubwa waliokamatwa ni wanawake wa kitanzania. Na Mimi nilibahatika kusafiri mwez kama kum na moja ambapo kulikuwa na watoto wa ktz kama kum na moja walikuwa wanavushwa kuna mtwara. Na karibia wote ni zile size za kukaa na mamazao. Wanawake waliokamatwa wengi wao walitumika kama wapishi kulingana na records kwa ahad ya kulipwa ujira mkubwa. Wewe umesoma gazet sisi ndo tuko mozambique. Achana na reference tuuu

Magazeti ya mapadri hayo mwachie asome ajazwe hizo sumu
 
Mpaka inasikitisha..Eti wanamtetea "allah" nani kasema Mungu anatetewa?? Inakuaje dini inakufanya uwe kichaa namna hiyo?? Ndio Maana nchi hasa za kiarabu hazina Amani, vita kila siku Mara ISIS Mara sijui Uchafu gani..
 
Ungelikuwa unatafuta ukweli usingelikuja na uharo huo ulioumwaga , Endelea kuwasikiliza Mapadri na maaskofu wanaowadanganya na sumu zao wanaotafuta kulisha matumbo Yao kwa migongo yenu kondoo
 
Uliwahi kuona documentary ya hao wanaoitwa boko haram kutoka Al Jazeera ??

Utajua ni kitu gani kilianzishwa na wakristo kabla kuzuka hio boko haram.

Hiyo Al Shabab ilianza vipi unajua ???

Hiyo serikali iliyoko hapo Mogadisho unajua iliundwa kule Kenya na wamarekani na wamagharibi ??

Tafuta source za haya makundi usikurupuke ukawasikiliza mapadri na harakati zao za kutafuta kula
muulize pia na wale Anti Balaka waliokuwa wanawaua waislam Jamhuri ya Afrika ya Kati walitumwa na kanisa kuua? Je wale ni magaidi au sio magaidi?
 
Mpaka inasikitisha..Eti wanamtetea "allah" nani kasema Mungu anatetewa?? Inakuaje dini inakufanya uwe kichaa namna hiyo?? Ndio Maana nchi hasa za kiarabu hazina Amani, vita kila siku Mara ISIS Mara sijui Uchafu gani..
For your information source ya makundi ya kigaidi inafadhiliwa na mataifa kama USA na UK kwa mwamvuli wa kutumia dini ionekane UISLAM ndio ugaidi wakati sio.Unaweza rejea kwa Osama Bin Laden ambaye ni zao la USA,walimfundisha ujasusi,ugaidi na akaisambaratisha USSR. Kama mfano huo haujakutosha naweza pia kukusaidia kukuonesha Al shabab,Boko Haram,ISIS,Taleban na makundi mengine ya kigaidi source yake ni ipi.
 
Back
Top Bottom