Suspected Islamists behead 10 in Mozambique

Suspected Islamists behead 10 in Mozambique

Niwe mkweli tu!! Sijawahi kuamini kama hivi vikundi vinapigana kwa ajili ya uislamu wala dini yeyote!! Ni wahuni washenzi majambazi na walaaniwe popote walipo! Shenz taip!!!!
Cabodeligado kuna wanamakonde wa suluar fupi wengi sana nahisi hawo ndo wanafanya yote hayo ni wajinga sana wao huzan kila mtu ni muisilam na usipokuwa muisilam wanakuona kama siyo binadam

Lakin hiyo vita yote iko chin ya wababe wachimba madin ya ruby hawo waislam wanatumiwa tu kama chanzo cha vurugu lakin wao hawanufaik na chochote kabisa
 
Sababu ya kufanya hivyo ni nini? Wanataka kuingia ikulu ama? Kwa Mozambique unyama kwao walishazoea maana hata RENAMO walikuwa wanawafanyia watu ukatili wa kutisha ikiwemo kuchinjwa na kukatwa viungo mbalimbali

Labda sasa wamegeuzwa jina wanaitwa waislamu
 
Duh mwezi na kutatana vichwa vip? Dini ya mkoloni ina tutesa waafrika hizi ni shobo kwenye imani za watu. Tuna uana Kinyama kama afrika ya kati
Hayana dini hayo uislam ni Kama Chaka la kujificha....ni Kama Lile la Uganda lililokuwa linataka Uganda iongozwe kwa amri kumi za mussa huku likilawiti na kuwabaka mpaka vikongwe kaskazini mwa Uganda (Joseph Konyi) na sijui limefia wapi....
 
Niwe mkweli tu!! Sijawahi kuamini kama hivi vikundi vinapigana kwa ajili ya uislamu wala dini yeyote!! Ni wahuni washenzi majambazi na walaaniwe popote walipo! Shenz taip!!!!
Hayo ndio mafundisho ya hiyo dini kuua mkristo,myahudi au mpagani ndio mafundisho ya mtume wao.
 
Haya ndio matokeo ya kuvamia dini za kurithi bila kuzielewa kwa undani.
 
Hayana dini hayo uislam ni Kama Chaka la kujificha....ni Kama Lile la Uganda lililokuwa linataka Uganda iongozwe kwa amri kumi za mussa huku likilawiti na kuwabaka mpaka vikongwe kaskazini mwa Uganda (Joseph Konyi) na sijui limefia wapi....
Kumbe, hujawahi kusikia habari za jambia ndani ya kanzu!
 
Ukisikia ujinga ndiyo huu...yaani dini ni ya watu wengine kabisa sie waafrika wapuuzi tusiojitambua tunaishabikia matokeo yake ndo haya sasa. Angalieni historia ya hii dini, ni utata mtupu tu na ilishasemwa kuwa hawa waarab na ndugu zao wayahudi hata iweje hawawezi kuishi kwa amani, watauana mpaka siku ya mwisho. Kiangalizo ni waarab na wayahudi, sasa sie waafrika tuna uarab ama uyahudi gani mpaka tuendekeze hizi dini zisizo na maadili kwetu? Utakuta mtu anaona ufahari kukariri Qu'ran wakati haelewi anachokariri, does this make any sense? Tuachane na ujinga wa kikoloni wa namna hii, time has changed kwani tukiendekeza hizi dini tutazidi kuuana kama wenyewe waarab na wayahudi ama ndugu zetu wa Afrika ya kati.
 
Maputo, Msumbiji: Wanavijiji wapatao 10 wameuawa kwa kukatwa vichwa mwishoni mwa wiki iliyopita na watu wanaosadikiwa kuwa ni Waislamu wenye msimamo mkali wa kidini katika Jimbo la Kaskazini mwa nchi.

Watoto ni miongoni mwa watu ambao wanalengwa katika shambulio lililofanyika kijiji cha Monjane, mkoa wa Cabo Delgado, aneo ambalo ni maarufu kwa shughuli za uchimbaji madini na utafiti wa mafuta.

Kikundi cha wapiganaji wa Kiislamu kiliripotiwa kufanya mashambulizi ya kushtukiza katika eneo hilo mwaka jana. Inaaminika kikundi hicho kinajipatia mamilioni ya dola kwa kuuza mbao na madini ya rubi.

Kikundi hicho, ambacho wenyeji wanakiita al-Shabab, kilianzishwa mwaka 2015 kama shirika la kidini na hakuna taarifa rasmi ikiwa kina uhusiano na kikundi cha wapiganaji wa jihadi wa Somalia wanaotumia pia jina hilo.

Mmoja wa waathirika wa shambulizi hilo lililofanywa mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye kijiji cha Monjane aliliambia shirika la habari la AFP: "Walimlenga mkuu wa kijiji kwa kuwa amekuwa wakiwapatia taarifa polisi kuhusu mahali ambako al-Shabab wamejificha msituni.”

Utafiti wa kisomi wa hivi karibuni, ukiwemo uliochapishwa wiki hii katika majarida ya habari na makala fupifupi, ulibaini kwamba wafuasi wa mwanzo wa kikundi hicho ambao wakati fulani wanaitwa al-Sunna, walikuwa wafuasi wenye msimamo mkali wa mhubiri wa Kenya aliyeuawa mwaka 2012.

Wafuasi wake walihamia Kusini na wakaenda kuweka makao Kibiti Kusini mwa Tanzania na karibu na mpaka na Msumbiji.

Polisi wamefanikiwa kuwakamatwa zaidi ya watu 200 wakihusishwa na mashambulizi ya wapiganaji wa Kiislamu kuanzia Oktoba mwaka jana.

Wiki iliyopita, mamlaka zilifungua misikiti sita ambayo ilikuwa imefungwa katika kipindi yalipohanikiza mashambulizi baada ya kukataa mafungamano na wapiganaji hao.

Chanzo: Mwananchi
Kila sehemu walipo hawa mbuzi Hakuna amani kabisa duniani
 
Kila sehemu walipo hawa mbuzi Hakuna amani kabisa duniani

Ni kweli kwenye amani ni walipo hawa wanaooa wanaume wenzao makanisani

vicar_1700537c.jpg

The pair are due to marry on Oct 9 at the register office in Devizes before holding a service at St John the Baptist Church
 
Ok give evidence
 
Says a mwarabu ass licker.
Kwa taarifa yako hao mabwana zako waarabu wanaongoza kwa ushoga duniani
 
refer to links nlizoweka in previous replies
Unakosea ukisema ni watanzania. Kuna sehem nimekwambia asilimia kubwa waliokamatwa ni wanawake wa kitanzania. Na Mimi nilibahatika kusafiri mwez kama kum na moja ambapo kulikuwa na watoto wa ktz kama kum na moja walikuwa wanavushwa kuna mtwara. Na karibia wote ni zile size za kukaa na mamazao. Wanawake waliokamatwa wengi wao walitumika kama wapishi kulingana na records kwa ahad ya kulipwa ujira mkubwa. Wewe umesoma gazet sisi ndo tuko mozambique. Achana na reference tuuu
 
Back
Top Bottom