Suspected Islamists behead 10 in Mozambique

Suspected Islamists behead 10 in Mozambique

Jameni mama yangu, nimetazama hiyo video, jamaa wanabeba vichwa vya watu kama mipira, hizi dini za nini kama ndio sababu ya mateso dunia hii, bora zingebaki huko kwao uarabuni.

Hizo ndizo propaganda zinazopigwa ili watu kama nyinyi muamini na watu waendelee kuwanyonya
 
Pamoja na kuwa kuna watu humu watapinga lkn kuna misikiti fulani fulani hufundisha mambo ya ugaidi kwa kisingizio cha kumpigania "Allah". Hawajui kuwa Mungu wa ukweli ana uwezo wa yote na haitaji wanamgambo wa kumpigania.

Ndivyo unavyoambiwa kanisani ???
 
Hakuna cha radical islam ukianza kutoa maneno ya kuwatoa makosa wezi na mafia , utakuwa unajitafutia mashaka. Mitume wote walikuwa kwenye matatizo kwa kuikosoa system hata wale wasio Mitume manabii walipata shida na wengine kuuwawa . Hata Akina Mandela, Che Guivara , Lenin , Mahatma Ghandi , na wengineo walipata shida kwa kujaribu kuwatetea wanyonge.
Kwa hiyo wewe unahisi BokoHaram, Al Shabab etc wanatetea wanyonge?
 
Kwa hiyo wewe unahisi BokoHaram, Al Shabab etc wanatetea wanyonge?

Uliwahi kuona documentary ya hao wanaoitwa boko haram kutoka Al Jazeera ??

Utajua ni kitu gani kilianzishwa na wakristo kabla kuzuka hio boko haram.

Hiyo Al Shabab ilianza vipi unajua ???

Hiyo serikali iliyoko hapo Mogadisho unajua iliundwa kule Kenya na wamarekani na wamagharibi ??

Tafuta source za haya makundi usikurupuke ukawasikiliza mapadri na harakati zao za kutafuta kula
 
Kuwafunga watoto mabomu wakajilipue kwenye masoko ndio mtakua mnapigania kuwakomboa akina nani, nyie bana.
 
pic+msumbiji.jpg
​
Maputo, Msumbiji: Wanavijiji wapatao 10 wameuawa kwa kukatwa vichwa mwishoni mwa wiki iliyopita na watu wanaosadikiwa kuwa ni Waislamu wenye msimamo mkali wa kidini katika Jimbo la Kaskazini mwa nchi.

Watoto ni miongoni mwa watu ambao wanalengwa katika shambulio lililofanyika kijiji cha Monjane, mkoa wa Cabo Delgado, aneo ambalo ni maarufu kwa shughuli za uchimbaji madini na utafiti wa mafuta.

Kikundi cha wapiganaji wa Kiislamu kiliripotiwa kufanya mashambulizi ya kushtukiza katika eneo hilo mwaka jana. Inaaminika kikundi hicho kinajipatia mamilioni ya dola kwa kuuza mbao na madini ya rubi.

Kikundi hicho, ambacho wenyeji wanakiita al-Shabab, kilianzishwa mwaka 2015 kama shirika la kidini na hakuna taarifa rasmi ikiwa kina uhusiano na kikundi cha wapiganaji wa jihadi wa Somalia wanaotumia pia jina hilo.

Mmoja wa waathirika wa shambulizi hilo lililofanywa mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye kijiji cha Monjane aliliambia shirika la habari la AFP: "Walimlenga mkuu wa kijiji kwa kuwa amekuwa wakiwapatia taarifa polisi kuhusu mahali ambako al-Shabab wamejificha msituni.”

Utafiti wa kisomi wa hivi karibuni, ukiwemo uliochapishwa wiki hii katika majarida ya habari na makala fupifupi, ulibaini kwamba wafuasi wa mwanzo wa kikundi hicho ambao wakati fulani wanaitwa al-Sunna, walikuwa wafuasi wenye msimamo mkali wa mhubiri wa Kenya aliyeuawa mwaka 2012.

Wafuasi wake walihamia Kusini na wakaenda kuweka makao Kibiti Kusini mwa Tanzania na karibu na mpaka na Msumbiji.

Polisi wamefanikiwa kuwakamatwa zaidi ya watu 200 wakihusishwa na mashambulizi ya wapiganaji wa Kiislamu kuanzia Oktoba mwaka jana.

Wiki iliyopita, mamlaka zilifungua misikiti sita ambayo ilikuwa imefungwa katika kipindi yalipohanikiza mashambulizi baada ya kukataa mafungamano na wapiganaji hao.

Chanzo: Mwananchi
 
Kuwafunga watoto mabomu wakajilipue kwenye masoko ndio mtakua mnapigania kuwakomboa akina nani, nyie bana.

Angalia hii documentary utaona ni kitu gani hao wanaokuambia hivyo wanafanya katika sehemu wanazoishi waislamu, AFRIKA

Ni wauaji sina hata haja ya kusoma......hata kama walianza vizuri saiv ni kundi ka magaidi wanaofanya unyama na ukatili wa hali ya juu!

Truth will set you free , Endelea na unavyoamini
 
Angalia hii documentary utaona ni kitu gani hao wanaokuambia hivyo wanafanya katika sehemu wanazoishi waislamu, AFRIKA

Unatumia nguvu nyingi kutetea vitu vya kipumbavu, sina haja ya kuangalia hizo documentaries, cha msingi ni kwamba mnafaa kukemea hao watu, kama mnawakana hawafanyi kwa niaba ya dini, basi muongoze kuwakemea maana kila mmoja wao anafanya akidai kaagizwa na imani ya dini.
 
HUTAKI KUFAHAMU UKWELI UNATAKA KUKIAMINI HICHO UNACHOAMINISHWA KANISANI, SINA CHA KUKUSAIDIA

Mathew 13:13
 
Sababu ya kufanya hivyo ni nini? Wanataka kuingia ikulu ama? Kwa Mozambique unyama kwao walishazoea maana hata RENAMO walikuwa wanawafanyia watu ukatili wa kutisha ikiwemo kuchinjwa na kukatwa viungo mbalimbali
 
Back
Top Bottom