Survival of the fittest, ukilemaa umeliwa

ukienda hapo kichwa kichwa unapigwa juju mfupa ukukabe, unakohoa unapokuja kutoka wameshamaliza. tulipokuwa wadogo tulishakataliwaga kula chakula kwa watu wa pwani....baragashia.
 
watu kama hao unaweza kuwanunua kwa ubwabwa tu. na wanapenda misiba hao, hawakosi msiba. ila ukipatwa na msiba, ukapika ugali,..istagafurahii, siku ingine ukipatwa na msiba utazika peke yako...
 
ushamba unanisumbua jamani hebu nisaidieni nazifunguaje picha maana miye sizioni!
 
nasikia huko uswahilini kuna wazee wakienda msibani wanaficha ndizi ya kulia pilau mfukoni.
hao walaji hadi kinyaa,hivi mtu unawezaje kushiriki mlo kwa staili hiyo bila kuchefukwa roho.
 
nasikia huko uswahilini kuna wazee wakienda msibani wanaficha ndizi ya kulia pilau mfukoni.
hao walaji hadi kinyaa,hivi mtu unawezaje kushiriki mlo kwa staili hiyo bila kuchefukwa roho.
wanaficha ndizi, unajua ndizi na pilau vinaendana sana. pia, kwenye kugombania nyama, wakiona kitoto kinafakamia minyama wakati wao hawajachukua, wanakibana kimazingara, iyo nyama itamkwama kwenye koo, basi atahangaika nayo hiyo inapokuja kutoka, wameshamaliza lisinia.
 
Back
Top Bottom