Surveyor

Surveyor

donielplegend

Member
Joined
Jul 24, 2017
Posts
9
Reaction score
4
Serikali na wizara ya ardhi itukumbuke sisi tuliomaliza katika vyuo vyao katika ngazi ya certificate na diploma hususani survey technician,wametusahau miaka mitatu lukuvi mh. Tuangalie tangazeni ajira zetu mtaaani pagumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si huwa wanasema surveyors ni hot cake mtaani?
 
Si huwa wanasema surveyors ni hot cake mtaani?

Hehehe watu si wana desturi ya kuishi kwa story za vijiwe vya kahawa mtaani. OK
Keep calm ajiras are coming.

Sent from Letchworth Garden City, Hertfordshire. UK
 
Back
Top Bottom