Surveyed plots for sale/ viwanja vilivyopimwa vinauzwa

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
571
156
Habari zenu wanajamvi?
Nauza viwanja vyangu viwili.
Ukubwa kila kiwanja: 35mx35m
Mahali vilipo: Visiga - Kibaha
Umbali toka Morogoro road: 2km (upande wa kushoto kama unaelekea Moro)
Bei ya kuuza: 4,000,000 Tshs kila kimoja
Jumla kwa vyote viwili (35mx70m): 8,000,000 Tshs,
Sababu ya kuuza: Nataka nimalizie nyumba yangu kama inavyoonekana pichani.

Viwanja viko pamoja na viwanja vingine zaidi ya 200 vilivyopimwa ambamo ndani ya plan mna viwanja vya huduma ya jamii kama vile shule. Ndani ya hiyo plan mna mitaa yenye barabara zilizopangwa vizuri.

Kwa mawasiliano: 0763718328
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    828.5 KB · Views: 130

Similar Discussions

Back
Top Bottom