Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Weka contact zako hapa jamvini hiyo huduma wengi wanahitaji,acha urasimu.
weka bei basi...
Okey wazee nimewaelewa,but inakuwa ngumu sana kutaja kila kitu hapa jamvini kwani mambo mengi yanayohusu hiyo ishu hapo juu yapo kiproffessional zaidi. Ninaweza kumwaga mambo ya fedha hapa jamvini kumbe kuna mtu alishawahi kumpiga mtu changa la macho kwa mambo hayohayo! Nafikiri tutapoongea ndipo tutapeana all the details. Najaribu ku-update thread ili niweke phone number
Mkuu naona na wewe unataka kutupiga changa la macho ndo maana hutaki kuweka mambo hadharani. Hivi unaona taabu gani kusema plot ya size hii nafanya survey kwa bei hii?
Kwa watu wa mikoani unafanyaje kuwafikia? Au ndo mambo ya nitumie tiketi ya ndege nije? Kuwa serious na busi mkuu!!