Surveillance camera awamu ya pili

Surveillance camera awamu ya pili

H20

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
341
Reaction score
170
Ndugu wadau wa JF nakusalimuni sana. Natoa asante kwa wale tulioshirikiana katika ujasiriamali wangu wa CCTV camera naamini wale waliofungiwa syatem hii hamkupata tabu yeyote au hitilafu yeyote katika vifaa vyenu. Bado natoa muda wa kufanya marekebisho. Asanteni sana kwa ushirikiano wenu.
Leo hii nawataarifu kuwa nimeingiza CCTV camera HD, DVR 8 channels, video balun pamoja na CCTV power supply. Bei zake nikama ifuatavyo.

[TD="align: left"]1. Bullet camera (za nje) -1/3 cmos 1000 tvl,Built-in 36pcs of F8 IR LED light, IR distance 50m, Lens CS4~8mm, DC12V -- bei 170,000/ - kwa moja

2. Dome camera (za ndani) -1/3 cmos 1000 tvl
Built-in IR LED light F5 x24pcs
IR distance 20m
Lens 3.6/6mm, DC12V-- bei 160,000 /- kwa moja

3. DVR -8 video channel ,8audio,4 alarm,SATAx1,RS485,Power 12V/3A,with Mouse & Remote control, hii imeshawekewa hard disc ya 1TB na bei yake ni 800,000/-

4. Kuna CCTV power supply kwa ajili ya camera -9 channels outputs, 12V DC /15A, power:180W - Hii bei yake ni 170,000/-

5. Kuna video baluns kwa ajili ya kuweka picha ziwe na ubora bila mitetemo (clear) kila camera na pair yake ya balun hizi bei ni 20,000/ - kwa pair.
Utaona sijaweka bei ya set kwani yategemea na mahitaji ya camera kulingana na sehemu unayofunga. Ila DVR nilizonazo ( zilizowasili ) zaweza kuhudumia a maximum of 8 cameras. So kama unahitaji waweza kukotoa bei kulingana na mahitaji ya camera iwe ofisini, nyumbani au sehemu yeyote utahudumiwa.

Ndugu wadau nimewawekea attachment ya picha kwa yeyote atakayependa huduma hii naomba awasiliane nami through +255783503864 na kwa wale waliopata huduma hii kutoka kwangu mwaweza kuwapa contacts zangu ndugu, jamaa na marafiki wanaohitaji hii huduma. Pamoja daima. Asanteni sana nawatakia kila la heri katika shughuli zenu.[/TD]
[TD="class: xl65, width: 291"][/TD]

[TD="align: left"][/TD]
[TD="class: xl65, width: 291"][/TD]

[TD="width: 316, align: left"][/TD]
[TD="class: xl73, width: 291"][/TD]

[TD="class: xl69, width: 291"][/TD]
 
Attachments

  • IMG_4589.JPG
    IMG_4589.JPG
    39.2 KB · Views: 87
  • IMG_4590.JPG
    IMG_4590.JPG
    40.1 KB · Views: 109
  • IMG_4593.JPG
    IMG_4593.JPG
    31.4 KB · Views: 81
  • IMG_4591.JPG
    IMG_4591.JPG
    43.6 KB · Views: 74

Me Nina CCTV camera ambayo fundo alifunga lkn akumalizia kufanua setting zake kwakuwa modem yangu ambayo ni ya ttcl ilikuwa imefungwa na mm nilikuwa nataka nifanyiwe configuration ile ambayo hata nikowa nie ya dar au nchi nakuwa naona aslong as nina device yenye internet, je ww una utaalamu wa kufunga aina hii ya cctv camera na charge zako zinakuwaje kwa kufanya configuration tu?
 
Back
Top Bottom