Surprise nyingine noma …. Ona hii….

Surprise nyingine noma …. Ona hii….

Vp yuko poa? i mean sura,umbo,kimo,rangi ngozi,n.k. Kama anamzidi uzuri mke wako mgegede. Kwani huenda hata mkeo anafanya hayo kwa waume wenzio.
 
ungemwita pembeni na kumuuliza anamaanisha nini kusema vile...
 
nimekusoma, ila hawa wamama wenye hivi vipesa vya kwenye maduka ya nguo, kupamba kumbi za sherehe, kupika vyakula vya sherehe mbona wanakuwa na tabia za ajabu?

mkuu yani hii inacheza kote kote ni sawa na wazee wenye pesa wana winda watoto wadogo kuanzia secondary hadi chuo! haya ni maangamizi makuu kwa jamii na kizazi hiki.Mimi huwa naamini watu wengi wazima wawe wanaume au wanawake yamkini walisha umia hivyo wanatumia vijisenti vyao kutuharibia kizazi chetu na wanetu yaani ni hatari kubwa sana.
 
Biblia inasema katika kitabu cha mithali tazama kijana mmoja -------- aliyekuwa akipita njia ya makutano akakutana na mwanamke mwerevu wa moyo amevaa mavazi ya kimisri ya kikahaba akamwambia twende kwaku tukafaidi upendo(sex) nimetandika kitanda changu kwa mandandiko ya misri kikiwa na manukato safi na akamwambia tena angalia mme wangu amechukua mfuko wa fedha harudi leo wala kesho hvyo tukafaidi upendo the bible continue saying, angalia hanguko lake yule kijana litakavyokuwa kubwa na yule mwanamke ni njia ya kwenda kuzimu! Na biblia pia inasema ikimbieni zinaa! na hili tunaliona kwa Yusufu alipotakwa na mke wa bosi wake (Potifa) alichofanya alikimbia. Alway if real you want to survive for adultery the solution is to run away! maana ukisema mara ooh mara inakuwa vile huku nhuo moja ikitolewa unajikuta umeliwa au umefanya. Ni changamoto kubwa kwa kila mtu ila uamzi unabakia kwa mtu binafsi. huo ndo mchango wangu mkuu.

Xo deep! Like.
 
Vp yuko poa? i mean sura,umbo,kimo,rangi ngozi,n.k. Kama anamzidi uzuri mke wako mgegede. Kwani huenda hata mkeo anafanya hayo kwa waume wenzio.

"Agoka, agok'omoi" maana yake ni kwamba wa kudhalilika ni mmoja tu, mwenye busara lazima ajinusuru, kama mke wangu anafanya hivyo shauli yake.
 
hahahaa
pole sana
aliona kijana husomeki
akaona bora akuitie umati
yaani huna hata huruma kwa mwenzio jamani
teh teh

japo mwili wangu ni wa kazi na mapenzi lakini si mapenzi ya kukurupushana m2 wangu.
 
mkuu yani hii inacheza kote kote ni sawa na wazee wenye pesa wana winda watoto wadogo kuanzia secondary hadi chuo! haya ni maangamizi makuu kwa jamii na kizazi hiki.Mimi huwa naamini watu wengi wazima wawe wanaume au wanawake yamkini walisha umia hivyo wanatumia vijisenti vyao kutuharibia kizazi chetu na wanetu yaani ni hatari kubwa sana.

tuwakatae kama tunavyoikataa ccm
 
ungemwita pembeni na kumuuliza anamaanisha nini kusema vile...

kwa kuwa niliona dalili zote kuwani za kishetani shetani, sikuwa na haja ya kumuuliza zaidi ya kuondoka na kufuta namba yake ya sm.
 
si ndo umgegede,...kusoma hujui hata picha huion????
 
pole sana, itakuwa na wewe anakuona kama baba wa mujini.

Hapana sio hivyo, hawa wamama (zaidi hapa rocky city) wamekuwa na tabia chafu ya kuwateka vijana kimapenzi, labda alifikiri mi kijana, kumbe mi baba ila tu umbo langu na namna ninavyoishi ndo kilichomdanganya. Kwa umri wangu nimeishaona mengi sana, watu wameefanyiwa mambo ya ajabu kwa kugundulika kuwa na mahusiano ya kingono na wake za watu. SIPENDI KABISA
 
Back
Top Bottom