Surching

Am looking a good garl/pretty one for charting and Shea's ideas am available cont 0752763717 am wark national housing like customer car

Ya Nini Kung'ang'ania Kuandika Lugha Ambayo Unajua Fika Huna Ufahamu Nayo Kiundani Zaidi?
 
umelazimishwa kuandika kiingereza?

surching = searching..

poor grammar.. this is more than broken....
 
Am looking a good garl/pretty one for charting and Shea's ideas am available cont 0752763717 am wark national housing like customer car
atoto katoto plz naomba unitafsirie kilichoandikwa hapo..
 
Last edited by a moderator:
Itabidi rais wetu akipita tuanzishe na mahakama ya lugha haiwezekani watu wanavunja sheria za lugha halafu wanaachwa tuu...huyu kweli wa leo hapa si kuacha..ngooja
 
Nimecheka mpaka basiiii. Kweli hii ni stress free zone. Daah!
 
Duuuh... Wewe ni noma.....jarbu kuandka kilatini labda unaweza kueleweka.... Hcho kilugha ulichoandka kinachofanana na kiingereza kwa mbali tunashindwa kuelewa shda yako haswa ni nini
 
ha ha ha,lugha ya malkia noma, (surching,am wark national housing like customer car),mabebi watakupenda zaidi ukiandika kiinglishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…