Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
- Thread starter
- #21
Unatupanga!
Unatupanga!
Haaaaaaaaaaaa!Hiyo picha ya mwisho ya Harmo rapa ya utotoni umeitoa wapi!???
3 je?Eee namba 4 na 9 sio poa.
Hahaaaaa. wanafanana kweli na ile avatar yake
unamaanisha nini ALALE NA MAMA? maana lugha hizi mhHuyo namba 3 anaonekana mtata sana, mpaka alale mama amebembeleza vya kutosha.
Ebu sahihi! Nilitakiwa kuandikaje??unamaanisha nini ALALE NA MAMA? maana lugha hizi mh
apakatwe na mamaEbu sahihi! Nilitakiwa kuandikaje??
Hili ni jukwaa la photos, nitaingia jukwaa la lugha.unamaanisha nini ALALE NA MAMA? maana lugha hizi mh
Hahahaaaaaa. wapo utakakutaHili ni jukwaa la photo, nitaingia jukwaa la lugha.
Ili unifundishe kujua lugha zaidi.
KENajiuliza huyo no 2 ni KE au ME?
Kwahiyo mtu inawezekana utotoni ulikua K then ukubwani unakua M?
inawezekana utotoni sura ya mama ukubwani sura ya babaKwahiyo mtu inawezekana utotoni ulikua K then ukubwani unakua M?