Sura ya mwezi tuionayo kama mtu-itazame kwa karibu, na upande wa pili ambao huwa hatuuoni duiani

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
moon_nearside_11.jpg


sisi wengine utotoni tulikua tunasema sura ya mama kabeba mtoto!!


Mon_compare_500.jpg


Kulia ni upande ambao huwa hatuuoni hapa duniani, yasemekana hapo zamani kabisa mwezi ulikua unajizungusha kwa kasi kiasi watu hapa duniani waliweza kuiona hiyo pande ya pili....kupungua kwa spidi hiyo kulikosababishwa na gravitation force ya dunia.

Pia yasemekana mwezi haupo duara kama tuuonavyo, umbile lake ni kama ule mpira wa football ya kimarekani....sababu ya kuvutwa na dunia kipindi mwezi upo in the molten form..(uji wa moto kama vile chuma kikiyeyushwa kwa moto mkali sana)!!!
 
Back
Top Bottom